Nimekosa First Round, kwa nilivochagua hapa nitapata second round?

Nimekosa First Round, kwa nilivochagua hapa nitapata second round?

Unaweza ukapata au ukakosa.

Inategemea na ushindani.

Hivyo kuwa mpole mpaka majibu ya awamu ya pili yatakapotoka.
 
Je na hivi mkuu 1.st.john dodoma 2.Kampala 3.teofilo kisanji 4.st.john dar 5.eckenforde bachelor of arts with education division two 12 DCE hkl
 
Nimekosa first round nina DCE kwa PCB
Je, kwa hapa nitapata?
1. MD-Kampala
2. Pharmacy-Kampala
3. MD-St Joseph
Hv kwann ninyi PCB mnalazimisha kusoma MD?
Hebu angalia matokeo yako zen angalia competition zen angalia vision yako

Kuna koz kama forest, aqua culture, horticulture, range management n.k
Kwa nn mnashobokea MD kwa vyuo uchwara?
 
Nimekosa first round nina DCE kwa PCB
Je, kwa hapa nitapata?
1. MD-Kampala
2. Pharmacy-Kampala
3. MD-St Joseph
Dogo hivyo sio vyuo vya kusoma hata hivyo huwezi kupata kwa alama hizo
 
Je na hivi mkuu 1.st.john dodoma 2.Kampala 3.teofilo kisanji 4.st.john dar 5.eckenforde bachelor of arts with education division two 12 DCE hkl
Dogo hapo pia hakuna hata chuo kimoja uta enda kula msoto tu
 
Nimekosa first round nina DCE kwa PCB
Je, kwa hapa nitapata?
1. MD-Kampala
2. Pharmacy-Kampala
3. MD-St Joseph
Hapo unapata hila inabidi uwe na hela ya ziada ya kuongeza Ada
kama 3. 6 mil kwa mwaka hapo namaanisha ushapewa boom hiyoo unaongeza mwenyeww
 
Kuwa makini md form six leaver nafasi nyingi zimejaa...zimebaki hasa kwa duploma holders.chagua koz ambazo hazinaushindani
 
Back
Top Bottom