Nimekoma kusinziasinzia kanisani!

nzilwa

Member
Nov 6, 2016
23
23
*Sintakaa nisahau siku nilipoenda ibada katika kanisa la walokole*,
*Siku hiyo nilisinzia wakati mchungaji anatoa mahubiri jirani yangu akanigusa "ndugu amka" ile nashtuka nikamsikia mchungaji akisema "simama" mi nikasimama fasta fasta nikasikia kanisa zima wanapiga makofi mchungaji akasema ahsante sana kwa mtumishi, aya nani mwingine anaetoa mchango milion 2 kwaajili ya ujenzi wa kanisa asimamee, nakuambia nilizimia!
 
Angalia kwy kulala unaweza ukajamba alafu kipindi cha kutubu dhambi, watu wakiwa kimiya
 
Hizo zilikuwa pledge ndugu, ungenyoosha mkono ukasema unaongeza elfu kumi badala ya kupanic.
 
Tatizo liko wapi hapo, ungesimama tena ukasema ukweli kwamba usingizi ulikupitia hukuelewa kilichokuwa kikiendelea kwahiyo usingeweza kutoa hicho kiasi. Unaogopa kuwaambia ukweli wakati Mungu alijua ukweli wako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom