Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
*Sintakaa nisahau siku nilipoenda ibada katika kanisa la walokole*,
*Siku hiyo nilisinzia wakati mchungaji anatoa mahubiri jirani yangu akanigusa
"ndugu amka" ile nashtuka nikamsikia mchungaji akisema "simama"
mi nikasimama fasta fasta nikasikia kanisa zima wanapiga makofi mchungaji akasema ahsante sana kwa mtumishi, aya nani mwingine anaetoa mchango milion 2 kwaajili ya ujenzi wa kanisa asimamee, nakuambia nilizimia