Nimekoma kuchukua machangudoa

duuh. hatari kuibiwa sio ushamba mkuu
Huyu ushamba umechangia anababaika na wadada wa town, yamemkuta salama yk kaachiwa izo kende lkn wajanja wangeng'oa pia akabak empty na ushamba wake, min shule[emoji35]
 
Kaa hapo hapo usitoke.kaniambia saa 10 alasiri atakurejeshea pesa zako.nukuu..."TUNZA SANA MAGUNIO HAYO"asipokuja njoo kariakoo shimoni uyalalie.
 
balaa lipo kwa mama watoto sijui kama ataelewa somo la mimi kutekwa na watu wasiojulikana
Sisi wavumilivu atakuelewa tu

Usinichekeshe eti somo la kutekwa wewe umejiteka menyewe kubabaika wadada wa chuo

Maskini ndo mara ya kwanza ukute umejaribu yakakakuta waachie wenye mji wao buanaaa
 


KWA GHARAMA HIYO KAMA UMEJIFUNZA NI BORA.
 
Kichwa Maji Jr
Hili jina lina Laana kutoka kwa Kichwa Maji Senior
 
Sisi wavumilivu atakuelewa tu

Usinichekeshe eti somo la kutekwa wewe umejiteka menyewe kubabaika wadada wa chuo

Maskini ndo mara ya kwanza ukute umejaribu yakakakuta waachie wenye mji wao buanaaa
sasa hivi ntakuja dar. kwa taadhali kubwa sana kumbe wanawake wote wa mjini ni hatari sana
 

Tulia hivyo hivyo dawa iingie usitingishike utavunja sindano!! Karibu mjini ila usinogewe sana na raha unazopewa ukadhani uko na mkeo. hapo vitani mkuu hakuna kulala hata ukilala we chukua wallet weka kwenye viatu vyake akikukagua night asipokuta kitu hawezi ondoka mtupu lazima asubirie ela yake asubuhi. Japo si mara zote hii mbinu inafanya kazi (disclaimer)
 
Karibu kwenye jiji la CHIKAKA????? Leo kwi kwi kwi kwi.. alafu haujatuambia kama ulitumia ile kitu yetu!!!!
 
Hiyo ndio dawa ya mwanaume malaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…