Nimekoma kuchukua machangudoa

Vipi mkuu ulijikagua sehemu zako za haja kubwa kama hakuna mikwaruzo?
 
Pole mkuu, karibu Dar. Ila usikome kuchukua machangudoa tu, Ukome na umalaya pia.
 
Papuchi imekuponza, ila umelisadifu jina lako la kichwa maji[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwani namba za siri za ATM anazijuwa? Anaenda kuzifanyia nini hizo atm cards?
 
Dahhhh... kwel wajinga hawaishi mjini...
 
Hizo ni changamoto za kawaida mkuu,umeshapata uzoefu wa kutosha na siku nyingine ukichukua hao viumbe utakuwa makini zaidi..!!
 
Ivi hamkomi tu? Mbona threds za hivi ziko nyingi? Muwe mnajifunza toka kwa wenzenu!!!
 
Kweli kichwa maji usirudie tena iwe fundisho

Fanya kilichokuleta Sepa ushapata hasara sasa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ... Nacheka kwa angalizo tu hila naomba yasinikute...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duh!! Ajali kazn ushamba sio lazma kuwa na migomba kichwani!! [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…