Nimekoma kuchukua machangudoa

Amwambie tu mama kuwa alitekwa na watu wasiojulikana na kupelekwa mahali kusikojulikana hadi wasamaria walipomuokota asubuhi akiwa hajitambui. Ama kweli mjini SHULE!
aaaahahahaaa dah ni mwenzetu hakuna la kufanya zaidi ya ushauri
 
Sina uhakika kama kweli umeibiwa, umepata wapi nguvu ya kuandikia huu uzi ?

Checking...100%
Network searching...0%

Network failed!
Near by Ileje Mbeya.
 
Simu alikuachia?? Ukalog in kutuambia....duh!
 
Sina uhakika kama kweli umeibiwa, umepata wapi nguvu ya kuandikia huu uzi ?

Checking...100%
Network searching...0%

Network failed!
Near by Ileje Mbeya.
ni katika moja ya kushughulisha akili na labda nitapata mawazo mbadala kwa memba wenzangu
 
Pole mkuu, maana hapo upo kama mwendawazimu kila mtu mbele yako unamuona ana raha na busara kuliko wewe, hasa kwa kuwa hapo si kwako, upo mji wa watu, aseee, pole sana,
Sasa akija si atakuruka shahidi yako atakuwa nani, jiji ni kubwa labda umemfananisha, watakuhukumu shoga zake hapo na kukuaibisha zaidi, bora usepe ukaanze na moja,
 
Bongoooo....Bongo Dar Es Salaaam......Utaliaa.....Liaaa.....Ndani Ya Dar Es Salaammm.....Kaa Chonjoo Eeheee...Ndan Ya Dar Es Salaammm....Bongooo Eheeeee.....Bongo Dar Esalaammm Kaaa X3[emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] Poleee Acha Usalitii!!!
 
daaa ndugu yangu we acha tu yani hapa nilipo nipo kama sio mimi vile. lakini Rb ninayo
 
Kama hilo hapo ndilo jina lako, basi hujakosea! Rudi nyumbani kajipange upya. Pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…