Nimekoma kuazimisha gari

Nimekoma kuazimisha gari

Pole sana mkuu,ina rangi gani vile!maana nimeona kwenye kituo kimoja cha Polisi Subaru Forester imepondwa vibaya haifai,nikahisi mwenye nayo atakua kafumaniwa tu maana ndani imejaa mawe.
 
Wengine tunamiliki magari ya kibiashara.. Unanunua Hiace ya M30 au Coaster ya M60 unamkabidhi mvuta bangi usiyemjua aendeshe, wewe mwenye ki Paso cha milioni saba unashindwa kumuazima mtu wako wa karibu! Kweli tumetofautiana sana...
 
Dah jamaa ndo umeamua kuja kunisemea humu wakati kabla hujanunua gari yako mm nilikuwa nakuazima ya kwangu
 
Mkuu gari ya mkopo huwa haiazimishwi
Kwa taarifa yako wenye magari ya mkopo ndio eti wanaazimisha ili kujifanya wanazo..... jitu lililonunua gari kwa kuzichanga linaanzaje kukupa
 
Hao ni ushamba wa gari unawsumbua. Gari!! Ni roho iyo? Acheni ushamba.we ulizaliwa nalo? Umetafuta ukapata nae iko siku atapa. Si wachaga atunaga hizo.gar unampa rafik yako na likiaribika unatengeneza na uuliz chochote.hayo ndo maisha.gari! Unajadili gar mpaka unalifananisha na binadam? Wakat dukan yamejaa !!achen aibu.
 
Kama heading inavyojieleza, kuazimisha gari n risk kubwa sana.

Wili iliyopita, kuna rafiki yangu wa karibu sana aliomba gari yangu (kwa madai yake) aende kuwaona wazazi wake Wilaya ya jirani,umbali wa kilomita 80. Ni safari ya kwenda na kurudi kwa siku moja. Nilimpa kwa makubali hayo, aende na kurudi siku hiyohiyo.

Baadae jioni nikapigiwa simu na polisi akinieleza kwamba, jamaa yangu alifumaniwa na mke wa mtu guest house.Mwenye mke akatafuta vijana wakaanza kupiga gari kwanza na kumtandika yeye.

Gari ikavunjwa vioo vyote, taa za mbele, wakaiba sub woofer, kadi ya gari na vitu vingine vilivyokuwamo.

Baada ya kichapo hicho na kuharibiwa gari, msamalia mwema akamuona na kumpeleka polisi ili akapate PF 3 kwa ajili ya matibabu.Polisi baada ya kimhoji sana, akaeleza tu ukweli kwamba alifumaniwa akabondwa.

Mpaka sasa gari ipo polisi lakini haifai.Mm napanda daladala kwenda kazini.

"Subaru Forester"

Mbaya zaidi gari ya mkopo.Mke wangu sijamweleza mkasa mzima.

Full head ache.

Nimekoma kuazimisha gari, kama nikija kununua lingine.
HAHAHAAA
Umenifurahishaaaaa polesanaaa hatahivyoo Hugo n falaaa mkewamtuu awaendagii namagarii lodge. Wakatimwingine hatanguoo wanavaa nani Niki mbili wakishtukiwa wanakimbia sehemu wanatoa za zamani waNabakinazingine hilobwege umelipata wapi......

KISA CHANGU N KAMAHIKO CHA KUAZIMA
I'la akufumaniaaa... Aliombaaa jumamosii wanaaharusii nkamwambiaa wekatu mafutaaa akajachuukua Noah....asbh

Sasitamchana o nikahisi nikazunguke nawananguu bagamoyooo.... Nkaanza safariii naikaribiaa bagamoyoo Naonaa Noah kamayangu imepitaaa vuuuu mmh namwambia mamaaaa speed ilesijuj Kama atafikaaa... Loh mbele kunaaa polisi... Nikaonaa NOAH YANGU IMEPAKI PEMBENI DREVA N MWINGINE ANATONGOZANA NA TRAFFIC.. NA HUKU FRAFFIC MDADA ANANISEMESHA KAKA MTAKUFA NKAMWAMBIA NAIKIMBIZA HIO NOAH
KAKANGU NDIE NIMEMPA GAFLA NAONAA IKO NAWATU NDANI INAELEKEA BAGAMOYO TUNAFUKUZANA... HEE. YULE DEREVA AKAITWA AKAJA NA YULE TRAFFIC AIEMKAMATA ANAULIZWA UMEPATA WAPIHII GARI.. AKATAJA JINA LINGINE KABISA.. NIAMPIGIA JAMAA AKASEMA YE ANAGARINYINGIN SO AMEMPA RAFIKIYAKE AKACHUKUE WAKWE.. MBAGALA. NKAMWAMBIA UNALIJUA JINA LA FREDDY HAPANA.. (DREVA)

OK.. NIKAMWOMBA DREVA NAMBA YA ALIEMPA GARI YANGU... NIKAONGEA NAE SAFI KABISA AKASEMA YEYE NI DALALI AMEPATA KAZI YA SAFAR AKAMPIGIA ANDREW(RAFIKI) AKASEMA NOAH INAPATIKANA NA TUMEMPA HELA INGAWA ALIGOMA TAJA KIASI.. NIAWAJUMUISHA KWENYE CONVERSATION WAKAJUANA AKAOMBA MSAMAHA.. KILICHOFWATA NIKAULIZA MNAELEKEAA WAPI AKASEMA MSATA... NIKAMWAMBIA DREVA MPIGIE ALIEKUPA GARI.. HIIGARI INAGEUKA HAPA N YANGU...

AALEMAKAKA WALIKUA WANNE NAMABINTI WANNE WAKAGOMASHUKA WANATAKA USAFIRI WAKUWAMALIZIA... NIKAMPIGIA NILIEMPA GARI HII GARI INAISHIA HAPAAA.. RUSHAHELA TAX IWAPELEKE JAMAA ZAKO AKAOMBAA ANANIRUSHIA HELA NIWAPELEKE MM NKAMWAMBIA NEVER N EVER

IKASIMAMISHWA NOAH NYINGINE WAKABAGAIN JAMAA AKAWARUSHA HELA NIKAINGIA KWA NOAH MM NIKAMWACHIA PREMIO TUKAENDA BGMOYO BACK FOLLOWING DAY

SINCE SINAHAMUNAOO
 
Wengine tunamiliki magari ya kibiashara.. Unanunua Hiace ya M30 au Coaster ya M60 unamkabidhi mvuta bangi usiyemjua aendeshe, wewe mwenye ki Paso cha milioni saba unashindwa kumuazima mtu wako wa karibu! Kweli tumetofautiana sana...
Mweh!

Hiyo umeshasema ni biashara...kama vp endesha mwenyewe hizo coaster... au 'baki na magari yako'
 
HAHAHAAA
Umenifurahishaaaaa polesanaaa hatahivyoo Hugo n falaaa mkewamtuu awaendagii namagarii lodge. Wakatimwingine hatanguoo wanavaa nani Niki mbili wakishtukiwa wanakimbia sehemu wanatoa za zamani waNabakinazingine hilobwege umelipata wapi......

KISA CHANGU N KAMAHIKO CHA KUAZIMA
I'la akufumaniaaa... Aliombaaa jumamosii wanaaharusii nkamwambiaa wekatu mafutaaa akajachuukua Noah....asbh

Sasitamchana o nikahisi nikazunguke nawananguu bagamoyooo.... Nkaanza safariii naikaribiaa bagamoyoo Naonaa Noah kamayangu imepitaaa vuuuu mmh namwambia mamaaaa speed ilesijuj Kama atafikaaa... Loh mbele kunaaa polisi... Nikaonaa NOAH YANGU IMEPAKI PEMBENI DREVA N MWINGINE ANATONGOZANA NA TRAFFIC.. NA HUKU FRAFFIC MDADA ANANISEMESHA KAKA MTAKUFA NKAMWAMBIA NAIKIMBIZA HIO NOAH
KAKANGU NDIE NIMEMPA GAFLA NAONAA IKO NAWATU NDANI INAELEKEA BAGAMOYO TUNAFUKUZANA... HEE. YULE DEREVA AKAITWA AKAJA NA YULE TRAFFIC AIEMKAMATA ANAULIZWA UMEPATA WAPIHII GARI.. AKATAJA JINA LINGINE KABISA.. NIAMPIGIA JAMAA AKASEMA YE ANAGARINYINGIN SO AMEMPA RAFIKIYAKE AKACHUKUE WAKWE.. MBAGALA. NKAMWAMBIA UNALIJUA JINA LA FREDDY HAPANA.. (DREVA)

OK.. NIKAMWOMBA DREVA NAMBA YA ALIEMPA GARI YANGU... NIKAONGEA NAE SAFI KABISA AKASEMA YEYE NI DALALI AMEPATA KAZI YA SAFAR AKAMPIGIA ANDREW(RAFIKI) AKASEMA NOAH INAPATIKANA NA TUMEMPA HELA INGAWA ALIGOMA TAJA KIASI.. NIAWAJUMUISHA KWENYE CONVERSATION WAKAJUANA AKAOMBA MSAMAHA.. KILICHOFWATA NIKAULIZA MNAELEKEAA WAPI AKASEMA MSATA... NIKAMWAMBIA DREVA MPIGIE ALIEKUPA GARI.. HIIGARI INAGEUKA HAPA N YANGU...

AALEMAKAKA WALIKUA WANNE NAMABINTI WANNE WAKAGOMASHUKA WANATAKA USAFIRI WAKUWAMALIZIA... NIKAMPIGIA NILIEMPA GARI HII GARI INAISHIA HAPAAA.. RUSHAHELA TAX IWAPELEKE JAMAA ZAKO AKAOMBAA ANANIRUSHIA HELA NIWAPELEKE MM NKAMWAMBIA NEVER N EVER

IKASIMAMISHWA NOAH NYINGINE WAKABAGAIN JAMAA AKAWARUSHA HELA NIKAINGIA KWA NOAH MM NIKAMWACHIA PREMIO TUKAENDA BGMOYO BACK FOLLOWING DAY

SINCE SINAHAMUNAOO
Tatizo unaandika hovyohovyo.....Hapa kichwa kinaniuma
 
Porojo hizo, tokea lini kifaa cha moto kikaazimishwa!
Inategemeana na jinsi mtu anavyojipangia kanuni zake za maisha.
Gari watu wanaazimana kama unavyoweza kuazimisha panga,ungo ama kisu.
Ilimradi unayemuazimisha awe na leseni halali ya udereva.
Ukishangaa kuazimisha, basi shangaa na kukodisha.
Tatizo ni pale mtu anapoondoka nalo na kwenda kupata mushikeri, hapo ndiyo inaharibu mpango mzima.
 
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni
 
Kuhusu original card itakuwa uongo, gari la mkopo card original hupewi hadi umalize mkopo.
 
Gari mwambie aende kampun za kukodisha Mimi nikiwa na hela siombi gari nna watu kibao wana deal na car rentals ya nin kuomba gari la mtu
 
Hivi kuna watu wanakopa ili wanunue gari?!

ila pole sana, ndo maana wanasema tenda wema uende zako

hapo n kumsamehe tu
 
Hakuna Gari Yenye Mkosi Kama Subaru, hizi ndio znaongeza kwa kupiga mizinga na kuwavunja viuno ma sharobaro
 
Pole sana baadhi ya marafiki si wakweli
 
Kuna wataalam wanaazima magari Tena mazuri mazuri wanageuza gesti wengine wanatafutia totoz....
 
Suala si kuazimisha bali huyo mwazimaji aliazima kwenda kufanyia nini!
 
Back
Top Bottom