Nimekoma kuazimisha gari

Nimekoma kuazimisha gari

Yaani wewe, gari haipo siku ngapi sasa nyumbani na mkeo hajui? Ina maana unamdanganya sivyo? Kama umezoea kumdanganya kirahisi hivyo kwa nini tusiamini unatudanganya ulijua rafiki yako anaenda wapi, ambako hata wewe huwa unaenda?

Na kama ulimpa gari rafiki yako ukapanda daladala, basi huna tatizo kupanda daladala.

Hata hivyo, vibaka kubonda gari sio suala la kisiasa, unaweza kudai insurance ili mradi kuna police incident report, kama kweli una gari. Tunajua gari la mkopo lazima liwe na comprehensive insurance.
Umemgonga kwa hoja sijui kama atakuja tena hapa
 
Kama heading inavyojieleza, kuazimisha gari n risk kubwa sana.

Wili iliyopita, kuna rafiki yangu wa karibu sana aliomba gari yangu (kwa madai yake) aende kuwaona wazazi wake Wilaya ya jirani,umbali wa kilomita 80. Ni safari ya kwenda na kurudi kwa siku moja. Nilimpa kwa makubali hayo, aende na kurudi siku hiyohiyo.

Baadae jioni nikapigiwa simu na polisi akinieleza kwamba, jamaa yangu alifumaniwa na mke wa mtu guest house.Mwenye mke akatafuta vijana wakaanza kupiga gari kwanza na kumtandika yeye.

Gari ikavunjwa vioo vyote, taa za mbele, wakaiba sub woofer, kadi ya gari na vitu vingine vilivyokuwamo.

Baada ya kichapo hicho na kuharibiwa gari, msamalia mwema akamuona na kumpeleka polisi ili akapate PF 3 kwa ajili ya matibabu.Polisi baada ya kimhoji sana, akaeleza tu ukweli kwamba alifumaniwa akabondwa.

Mpaka sasa gari ipo polisi lakini haifai.Mm napanda daladala kwenda kazini.

"Subaru Forester"

Mbaya zaidi gari ya mkopo.Mke wangu sijamweleza mkasa mzima.

Full head ache.

Nimekoma kuazimisha gari, kama nikija kununua lingine.
Pole Sana mkuu, gari ikitoka polisi Kama upo Dar, nenda kwa zizu Mzee mmoja wa kiarabu pale machinga complex utapata vifaa vingi Tu Na bei zao Ni nzuri tuu.
 
Hivi kwanini utembee na mke wa mtu? Utajisikiaje mtu akitembea na mke wako?
 
mmmhh poleee ila bora moja mbili ingekuwaje mkeo angeambiwa gari yako ipo police ulifumaniwa ukatoroka,,, mweee!!
 
Hongera kwa kumiliki gari mkuu, ulithubutu na ukaweza.


Waliiba Kadi ya gari orijino?
 
Pole sana,ila wanaume mnapata wapi nguvu ya kuazimisha vitu vya familia? Gari si mali yako peke yako na wanao pia wanafaidika nalo kwa kuwarahisishia usafiri,wanajibana kwa Matumizi ili wewe ulipe pesa ya hilo gari..... haya mwambie mkeo sasa kama ulivyo elezwa na polisi
Sasa asipoazimisha washkaji zake watajuaje jinsi alivyo pouwaaaa??
 
UKITAKA KUFA KIZEMBE WW TEMBEA NA MKE WA MTU.
Mara kuna jamaa alikuwa anatembea na mke wa mtu. Baada ya kukamatwa jamaa akampeleka home akaagiza ugali usongwe mkubwa sana zaid ya kula watu 5. Akashikwa mwanamke akafungwa mikono na miguu ikapanuliwa kitu nyeupe inaonekana.
Jamaa akaambiwa ale ugali na akoze kweny K, akishindwa anauliwa. Mbona ugali uliisha. CHEZEA KIFO WW
JAMAA NDIYO HIVYO AKAWA AMENUSURIKA NA KIFO
 
Wewe mkuu ni taahira, unaazimisha gari? Halafu bila kumshirikisha mkeo? Hiyo ndo stahili yako!
 
Sasa asipoazimisha washkaji zake watajuaje jinsi alivyo pouwaaaa??
Maisha ya ndoa hayataki watu poa hata Siku moja, maana kwa akili za hivyo ipo siku na jamaa nae ataja fumaniwa kisa aridhishe marafiki zake
 
Yaani wewe, gari haipo siku ngapi sasa nyumbani na mkeo hajui? Ina maana unamdanganya sivyo? Kama umezoea kumdanganya kirahisi hivyo kwa nini tusiamini unatudanganya ulijua rafiki yako anaenda wapi, ambako hata wewe huwa unaenda?

Na kama ulimpa gari rafiki yako ukapanda daladala, basi huna tatizo kupanda daladala.

Hata hivyo, vibaka kubonda gari sio suala la kisiasa, unaweza kudai insurance ili mradi kuna police incident report, kama kweli una gari. Tunajua gari la mkopo lazima liwe na comprehensive insurance.
Kuhusu Bima labda jamaa ashirikiane na polisi wadanganye wasiseme kwamba gari limepigwa na wahuni maana kwa vigezo na masharti ya bima hapo halipwi
 
HAHAHAAA
Umenifurahishaaaaa polesanaaa hatahivyoo Hugo n falaaa mkewamtuu awaendagii namagarii lodge. Wakatimwingine hatanguoo wanavaa nani Niki mbili wakishtukiwa wanakimbia sehemu wanatoa za zamani waNabakinazingine hilobwege umelipata wapi......

KISA CHANGU N KAMAHIKO CHA KUAZIMA
I'la akufumaniaaa... Aliombaaa jumamosii wanaaharusii nkamwambiaa wekatu mafutaaa akajachuukua Noah....asbh

Sasitamchana o nikahisi nikazunguke nawananguu bagamoyooo.... Nkaanza safariii naikaribiaa bagamoyoo Naonaa Noah kamayangu imepitaaa vuuuu mmh namwambia mamaaaa speed ilesijuj Kama atafikaaa... Loh mbele kunaaa polisi... Nikaonaa NOAH YANGU IMEPAKI PEMBENI DREVA N MWINGINE ANATONGOZANA NA TRAFFIC.. NA HUKU FRAFFIC MDADA ANANISEMESHA KAKA MTAKUFA NKAMWAMBIA NAIKIMBIZA HIO NOAH
KAKANGU NDIE NIMEMPA GAFLA NAONAA IKO NAWATU NDANI INAELEKEA BAGAMOYO TUNAFUKUZANA... HEE. YULE DEREVA AKAITWA AKAJA NA YULE TRAFFIC AIEMKAMATA ANAULIZWA UMEPATA WAPIHII GARI.. AKATAJA JINA LINGINE KABISA.. NIAMPIGIA JAMAA AKASEMA YE ANAGARINYINGIN SO AMEMPA RAFIKIYAKE AKACHUKUE WAKWE.. MBAGALA. NKAMWAMBIA UNALIJUA JINA LA FREDDY HAPANA.. (DREVA)

OK.. NIKAMWOMBA DREVA NAMBA YA ALIEMPA GARI YANGU... NIKAONGEA NAE SAFI KABISA AKASEMA YEYE NI DALALI AMEPATA KAZI YA SAFAR AKAMPIGIA ANDREW(RAFIKI) AKASEMA NOAH INAPATIKANA NA TUMEMPA HELA INGAWA ALIGOMA TAJA KIASI.. NIAWAJUMUISHA KWENYE CONVERSATION WAKAJUANA AKAOMBA MSAMAHA.. KILICHOFWATA NIKAULIZA MNAELEKEAA WAPI AKASEMA MSATA... NIKAMWAMBIA DREVA MPIGIE ALIEKUPA GARI.. HIIGARI INAGEUKA HAPA N YANGU...

AALEMAKAKA WALIKUA WANNE NAMABINTI WANNE WAKAGOMASHUKA WANATAKA USAFIRI WAKUWAMALIZIA... NIKAMPIGIA NILIEMPA GARI HII GARI INAISHIA HAPAAA.. RUSHAHELA TAX IWAPELEKE JAMAA ZAKO AKAOMBAA ANANIRUSHIA HELA NIWAPELEKE MM NKAMWAMBIA NEVER N EVER

IKASIMAMISHWA NOAH NYINGINE WAKABAGAIN JAMAA AKAWARUSHA HELA NIKAINGIA KWA NOAH MM NIKAMWACHIA PREMIO TUKAENDA BGMOYO BACK FOLLOWING DAY

SINCE SINAHAMUNAOO
Mpwa umetisha. Gari kama yangu ileee! Umenikumbusha kuna jamaa yangu alisema hivyo hivyo gari kama yangu ileeee...kufika home gari haipo wameiba!
 
Mkuu mbona bado mnauwezo wa kumfungulia kesi huyo mwenye mke na akkakulipa we nahuyo aliye fumaniwa tafuteni mwanasheria tu mfungulieni kesi
 
Back
Top Bottom