Duuh, umenikumbusha one day nimeenda ofisi ya mkuu wa mkoa Mara.Nimeenda ofisi ya NHIF Cha ajabu pale reception costumer service mbaya kishenzi, namuelekeza ananiambia short answers,
Nikasema dada mbona una costumer care mbaya hivi anasema kwani wewe unatakaje!
Nikasema nataka hudumu nzuri,
Nikaomba barua ya maoni kabla sijaondoka nikataka kuonana na meneja ili nimchane.
Nakutana na manager ni msaataarbu vibaya mpole amenielekeze mpaka raha, watumishi wa umma, Badilikeni.
Kwakweli bro...huu ndio ukweli Mtupu wanazinguaDuuh, umenikumbusha one day nimeenda ofisi ya mkuu wa mkoa Mara.
Before nilikuwa nikifanya mawasiliano na dada mmoja alienipigia baada ya kukabidhiwa barua yangu, akasema niende ofisin nikajitambulishe, so kwa vile barua nireaddress kwa RAS, moja kwa moja nikaenda ofisi ya Ras.
Aisee kidada kilimaind mbaya mno, alinipeleka secretary wa Ras baada ya kujua skuwa na appointment na Ras, secreatry akawa anakisihi, “mama hawa ni wageni wasikileze tu, hakuna kilichoharibika.”
Kikawa kinakaza kwann sikumpigia simu kumjulisha kuwa nimefika, naenda kwa Ras kufanya nn, Ras anaweza kunisikiliza mimi.
Hadi secretary akaondoka akaniacha na msala,
Hizi ofisi za utumishi wa umma kuna baadhi ya staff hawapaswi kuzihudumia, basi tu ni vile hakuna kujibishana serikalini.
Watu wa Mapokezi wakuwaga na majibu ya hovyo, nyodo na kujiona sana.Nimeenda ofisi ya NHIF Cha ajabu pale reception costumer service mbaya kishenzi, namuelekeza ananiambia short answers,
Nikasema dada mbona una costumer care mbaya hivi anasema kwani wewe unatakaje!
Nikasema nataka hudumu nzuri,
Nikaomba barua ya maoni kabla sijaondoka nikataka kuonana na meneja ili nimchane.
Nakutana na manager ni msaataarbu vibaya mpole amenielekeze mpaka raha, watumishi wa umma, Badilikeni.
Pole ndugu.Leo nimetoka hapo ilala, Kwa kweli mmenikera vibaya mno!
Lazima niseme hampo makini. Picha linaanza nimeenda ofisi zenu za pale Sam Nujoma nikaambiwa hapa hatuwezi kukuhudumia nenda Posta sbb mgonjwa anatokea Muhimbili.
Nikaenda Posta nakutana na Bango ofisi zimehamia ilala.
Hivi ni kweli staff wa NHIF pale Sam Nujoma hajui kama ofisi zimehama??
Anyway nimeenda pale ilala ili nipewe kibali cha dawa, naambiwa middle name ya dependant ni tofauti kwenye birth certificate ya principle na kwenye NHIF Kadi ya dependant.
Nauliza mbona hiyo Kadi ndio amekuwa akiitumia siku zote sasa kwanini kwenye kibali hatambuliki Ila huduma nyingine anapata? Na kwanini mlikubali kumpatia Kadi wakati jina lake lilikuwa tofauti kwenye birth certificate?
Hakuna logic yoyote mnayotoa zaidi ya kutaka majina yafanane 100%.
Sasa tunakuwa tunahudumiwa na watu wasio na common sense, kama hamna uwezo wa kufikiri si bora mngetuwekea robot tujue moja!!!
Mmenikera Sana Kwa kweli!