Nimekitupilia mbali rasmi King'amuzi cha Startimes

Nimekitupilia mbali rasmi King'amuzi cha Startimes

Sijapenda kuingilia budget yangu ila wameniboa kila ikifika taarfa ya habari scratch zinaanza hasahsa ITV hivi vya star times havifai

Kwani Channels za content providers wengine hazionekani au ni za ITV tu? Kama za makampuni mengine zinazonekana bila matatizo, sasa hapo Startimes wanahusika vipi na contents zinazorushwa kwao na ITV!!
 
Wazalendo tu ting, digtek, continental, na dstv kwa 7bu ya mpira wengine pigaaa kuleeee hao startimes wanabebwa na tbc na serikali thats why wapo cheap sana
 
Star times ni Wachina sasa wewe ulitegemea nini hapo? Mpango mzima ni DSTV ila lazima uwe na mkwanja wa kueleweka vinginevyo unaweza kujikuta kwa mwaka mzima unalipia miezi miwili tu.
 
Kuna cha Continetal nakisikiaga, vipi hicho kipo viziri?
 
Yeyote yule mwingine mwenye maradhi ya kutupa vitu vikiwakera , visimbuzi,wake zao ,gari zao ,mifugo yao .wani pm mimi ndiye mwokota takataka mahiri majumbani!

I just find my self lovin u kwa hii comment..
 
Ni king'amuzi cha Startimes, baada ya kuona hakioneshi vizuri Chanel za IPP media especially ITV. Nilidhani ni kwangu tu, ila nimeona na jamaa zangu ni hivyo hivyo. Nilitamani nikikanyage kabisa. Nimefunga kingine, hata mabango ya Startimes sitaki kuyaona.

pole sn
 
Yeyote yule mwingine mwenye maradhi ya kutupa vitu vikiwakera , visimbuzi,wake zao ,gari zao ,mifugo yao .wani pm mimi ndiye mwokota takataka mahiri majumbani!

Nimeipenda ila mimi nataka tu wanaotupa wake zao mimi nitawaokota,nasisitiza kama umemchoka mkeo mtupe kwangu nitamuokota
 
Jana to na mm nilikitupa nikanunua azam na digitek, angalao sasa nafaidi flat screen yangu. The na startimes ya kachina, mh%0
 
waokota vitu jiandaeni mda si mrefu na kitupa changu cha zuku
 
Hati aye naenda sasa kununua kisimbusi cha digitek. Ile ahadi yangu ya kukipiga nyundo kisimbusi cha startimes karibu I itatimilika. Nitaonyesha live ninavyokipiga nyundo. Stay tuned!
 
Ahaaaaa ahaaaaa naona huu umekuwa uwanja wa matangazo wa ving'amuzi
 
Ni king'amuzi cha Startimes, baada ya kuona hakioneshi vizuri Chanel za IPP media especially ITV. Nilidhani ni kwangu tu, ila nimeona na jamaa zangu ni hivyo hivyo. Nilitamani nikikanyage kabisa. Nimefunga kingine, hata mabango ya Startimes sitaki kuyaona.
Umefunga kipi mkuu ili na Mimi nikafunge?
 
Back
Top Bottom