Mwenzangu umeula walah. Mambo yakiwa sawa usitusahau wenzio kumbuka umependwa jinsi ulivyo wala mkaka hakujali unakoishi lkn hata hivyo urembo wako nao umekusaidia dear bila kusahau jinsi ulivyojitunza mpaka watu wanataka kukuzushia ili mradi wivu tu..mwali nimepata tena wa bahari beach mweeeh!
wapambe lazima mjinyonge mwaka huu manake fikiria toto la uswaz manzese kwa mfuga mbwa leo naenda nchi ya mageti n upepo wa bahari nitake nini tena mimi yarabi.
halafu wewe unaonekana unamtamania mwenzio hadi basi...........
manake unavijimaneno weye
Mwenzangu umeula walah. Mambo yakiwa sawa usitusahau wenzio kumbuka umependwa jinsi ulivyo wala mkaka hakujali unakoishi lkn hata hivyo urembo wako nao umekusaidia dear bila kusahau jinsi ulivyojitunza mpaka watu wanataka kukuzushia ili mradi wivu tu..
jamani sasa wewe inamaana hutakkuja kabisa kupaona nilipopanga??
mwanaume haogopi mbwa bana.
halafu nimekuuliza nikuite jina gani tamu??
honey, switi, dalingi, laazizi, msiri wangu, mwandani wangu ama lipi yarabi mpenzi wangu.
Simtanii, nakuueleza ukweli si unajua umetafuta mchumba cku nyingi bila mafanikio na leo mambo yamekubali!
Ni kwa sababu namfahamu na ni jirani yangu wa muda mrefu . Sio kwamba namsifia bali hivyo ndivyo alivyoHasa mbona wamsifia sana akati sijawahi muona wala kuiskia sauti yake.
uwiiiii teeeeeh teeeeh utawapata sasa humu mwe jaribu bahati yako ila kaz yako bado n kubwa kujinadi
Ni kwa sababu namfahamu na ni jirani yangu wa muda mrefu . Sio kwamba namsifia bali hivyo ndivyo alivyo
Kiufupi nipo serious jamani, pia sina kazi. Elimu yangu ni kidato cha IV.
Hee hajakupa pengine hana simu hebu muulizenipe namba yake ya simu.
Yaaalllah!
Huna kazi, huna elimu. Nani anataka kuishi kwa matumaini! Hebu kajipange walau uje na urithi wa kutoka kwa mzazi wako basi.
Hee hajakupa pengine hana simu hebu muulize
aka babu wee untue mtoto wa mwenzio muulidhe mwenyewe ili uanze kumdhoeaNamuogopa, nisadie kumuuliza.
Tabia za ki fb zko vp?
aka babu wee untue mtoto wa mwenzio muulidhe mwenyewe ili uanze kumdhoea
kwaninidoh kazi kweli kweli.