Tunajitahidi kutumia nafasi zetu kupunguza wimbi la watu kujinyonga.Sijaona upendo na mshikamano kama jf.just imagine mtu kaandika ushuzi wa njano lakini bado wadau wanamsapot na kumpa pole huu ni upendo wa hali ya juu.
Ukijua tu hutowahi nisema eti TenaKwahiyo mbususu yako haiingii period
Eh Sasa imekuuma jiue tuSijaona upendo na mshikamano kama jf.just imagine mtu kaandika ushuzi wa njano lakini bado wadau wanamsapot na kumpa pole huu ni upendo wa hali ya juu.
Wanakuja soon kabisa usijaliMama yako ni mpweke kwa sababu hutaki kubadilika. Mtafutie wajukuu itakuwa faraja kwake.
Nimeishi naye Kwa upendo nakutojali ila nimeshindwa kaenda hadi kwenye nguo himaya na kila kituIshi na watu kwa upendo hata kama wanakuchukia
Life is too short
Mama yangu kakosa wajukuu wa watu wawili tu ila anawajukuu 20mpaka Sasa amecheza nao mpaka kachoka .Mama yako ni mpweke kwa sababu hutaki kubadilika. Mtafutie wajukuu itakuwa faraja kwake.
Yaani eh hamjui maana wasingetumia Cha njeeUmearibu ulivyosema kachaga nilitaka ninunue ugomvi 🤣🤣 sisi wachaga hatujui choo ya kukalia kweli sisi
Hama hapo nyumba zipo nyingi mjiniNimeishi naye Kwa upendo nakutojali ila nimeshindwa kaenda hadi kwenye nguo himaya na kila kitu
Kweli ndio maana wengi huama hapoHama hapo nyumba zipo nyingi mjini
Macho na matamanio ya mama yako ameyaweka kwako na haridhiki na mienendo yako.Mama yangu kakosa wajukuu wa watu wawili tu ila anawajukuu 20mpaka Sasa amecheza nao mpaka kachoka .
So Mimi wa mwisho sio mbaya nikileta Kwa muda
Mmh kazi ipo naipenda Tanzania yanguWala kabisa nikiwaona naona kawaida tu
Kutolewa ndio Raha kusoma majaliwaForm 4 mliofanya mtihani wa kumaliza juzi kafanyeni twisheni ya pre form 5 au katafuteni vyuo badala ya kutafuta wachumba! Maisha magumu mjue!