Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,136
- 55,605
Pata juisi ya ukwaju kwanza
Sifuatiliagi wafu hawatonipa damu Mzee napili wanaume za watu wanagundu na utu uzima wangu nisitambue tu.Inavyoonekana, so, wewe so ulikuwa, so, unamnyatia, so uyo baharia kitambo tu
Sawa nimepata kahawaPata juisi ya ukwaju kwanza
Miaka 55
🤣🤣 itakua amepanicUlitaka kuandika nini?
Wewe mie nipo 30',s ila sijafika 35So you've began experiencing brain menopause at 55?
Nakumbuka mwaka 2003 nilikuwa na rafiki yangu mfupi kama debe lakini mishiko kila wiki anakamata za kutosha.Shenzi tu mume wa mnyama nafuu yaani anitafute mume mwenyewe kapinda kiuno
Hasira humpata mtu mwingine ambaye hata hajakusema vibaya au hajakuuzi unamlipukia tu yaani Hana kosa lolotePunguza jazba kidogo mwaya, unavyofoka kwani yupo humu ? Unahisi anakusoma?
Ukitumia kahawa,huko chini pataamka,na utasumbua majirani zakoSawa nimepata kahawa
Wapi??Nakumbuka mwaka 2003 nilikuwa na rafiki yangu mfupi kama debe lakini mishiko kila wiki anakamata za kutosha.
Kuna demu alinipa viapo vyote kwamba hawezi kumvulie chupi jamaa yangu siyo type yake, nikamfikishia muhusika ubuyu jinsi demu anavyomponda.
Basi baada ya kama mwezi mshkaji alinipigia simu SAA 10 usiku wapo lodge Sina na akanipa simu nimsalimie Shemeji kumbe ni yule demu mjivuni.
Post yako hii imenifanya nikumbuke kile kosa, huwezi kuweka kiapo kwa mwanaume, hizi hadithi waeleze Watoto wadogo.
Diamond aliyeimba mbagala hakuna mtu angeamini Zari anaweza kuja kumvulia chupi na kumzalia Watoto.
Money power & respect.
Wewe mie nipo 30',s ila sijafika 35
Umearibu ulivyosema kachaga nilitaka ninunue ugomvi 🤣🤣 sisi wachaga hatujui choo ya kukalia kweli sisiNimehamia mjini so Sina nyumba ya kuishi so kukodi ni lazima nimmeleta na maza ili asiboreke kijijini nyumba ni self tu nzuri ya kawaida so Kuna zenye room mbili yenye kila kitu wanaishi wenye familia kubwa .
Sokuna huyo dad's kaolewa juzi kapata familia yake meaning kajifungua huyo dada anahisi kuwa nipo na jamaa yake Kisa ananisalimia Kwa furaha so shida ipo hapo .
Wanaume za watu Mimi kweli ni na chukiaga kulala nao maana ni nuksi unazuiwa kuoolewa Kwa urahisi ni gunduu sana na wanakufungia kutolewa ni kama shida tu unaitafuta .
Basi aka chukua Uzi wanguo yangu akapeleka Kwa fundi wake akaanza kuniloga basi Kwa maji na chumvi za maombezi na kutonywa kwenye ndoto .
Nikaona huyu mtu ananiletea ushuzi nikakata ukaribu naye.
Basi alianza visa nimeanika nguo aniwekea vizuri na kuniwekea pini zake Tena kwenye nguo ambazo ni nzuri.
Pili anakuja kuniwashia mkaa karibu na dirisha langu.
Sasa mume anagari la kimaskini vibalooni vya kisasa ml 9 hujengi walakufungua biashara ya maana mie nitembee naye kweli ??
Niache watu na hela zao nikatembee na vishoia vinapanga vimezalia kwenye nyumba za wanaume wenzio.
Mi nataka nimfuate nimpigee .
Haiwezekani aniandame hivi Kisa watu wengine ndio wanamzunguka hao ndio wanamla kikulacho kipo nguoni mwake naweza kulalana mume wa mtu kweli???? Tena huyu kapinda kiuno mxiuu kishoia tu Tena kachaga ndugu zake hawajui choo chakukalia wameharibu
Kwaiyo wewe siyo wa kawaida aisee wanawake mlipofikia mmh!Wakawaida wewe unanijua kama Mimi niwakawaida ???