Nimekereka Sana Leo

Nimekereka Sana Leo

Nimehamia mjini so Sina nyumba ya kuishi so kukodi ni lazima nimmeleta na maza ili asiboreke kijijini nyumba ni self tu nzuri ya kawaida so Kuna zenye room mbili yenye kila kitu wanaishi wenye familia kubwa .

Sokuna huyo dad's kaolewa juzi kapata familia yake meaning kajifungua huyo dada anahisi kuwa nipo na jamaa yake Kisa ananisalimia Kwa furaha so shida ipo hapo .

Wanaume za watu Mimi kweli ni na chukiaga kulala nao maana ni nuksi unazuiwa kuoolewa Kwa urahisi ni gunduu sana na wanakufungia kutolewa ni kama shida tu unaitafuta .

Basi aka chukua Uzi wanguo yangu akapeleka Kwa fundi wake akaanza kuniloga basi Kwa maji na chumvi za maombezi na kutonywa kwenye ndoto .
Nikaona huyu mtu ananiletea ushuzi nikakata ukaribu naye.

Basi alianza visa nimeanika nguo aniwekea vizuri na kuniwekea pini zake Tena kwenye nguo ambazo ni nzuri.

Pili anakuja kuniwashia mkaa karibu na dirisha langu.
Sasa mume anagari la kimaskini vibalooni vya kisasa ml 9 hujengi walakufungua biashara ya maana mie nitembee naye kweli ??


Niache watu na hela zao nikatembee na vishoia vinapanga vimezalia kwenye nyumba za wanaume wenzio.

Mi nataka nimfuate nimpigee .
Haiwezekani aniandame hivi Kisa watu wengine ndio wanamzunguka hao ndio wanamla kikulacho kipo nguoni mwake naweza kulalana mume wa mtu kweli???? Tena huyu kapinda kiuno mxiuu kishoia tu Tena kachaga ndugu zake hawajui choo chakukalia wameharibu
Hata hueleweki. Mkiambiwa msome hamtaki mnasema kusoma ya nini na huku mna K. Matokeo yake hata kujieleza tu huwezi.
 
Back
Top Bottom