Nimekatwa 12, 000 kwenye mshahara

Nimekatwa 12, 000 kwenye mshahara

NANYIEE MNAOKIMBILIA VIFURUSHI VYA CHUO HATA FORM FOUR UJAMALIZA PROF NAO WAKATE HAOO
 
Duuuu hadi huruma daah ningekua tz ningekutumia hata kwa m pesa kapesa hako daaah walim wanapataga tabu kwl
 
Mimi sio mwalimu, lakini 35,000/= imekatwa ktk mshahara wangu wa mwezi huu na bodies ya mikopo walishaanza kuchukua chao toka miaka 4 iliyopita. Anayejua sababu tafadhali.
 
Pesa ya madafu tu hyo kausha kma ulivyokuwa unakula boom la HESLB
 
Me pia ila ni siku tatu baada ya mshahara,kiwango ni kama chako
 
Sasa kama mwalim mzima,unashindwa kujua kwanini unakatwa.Hao wanafunzi assignments mnazowapa inakuwaje kweli.
Kwenye slip si inaonyesha?maana makato yoyote kweye salary lazima yaonyeshe ni makato ya nini.
Fuailia,acha kulalamika Mwalim unaenitia mashaka na taaluma.
Hawezi kupata salary slip mapema kama unavyofikiria,mimi najua ya mwezi huu anaipata mwezi unaofuata.
 
Back
Top Bottom