Kwan mishahara imetoka tayariKiukwel nimesikitika sana baada ya kukuta mshahara wangu umepungua ukizingatia sisi walimu mishahara midogo makato mengi jumlisha mikopo yaani ni shida tupu. Hacha tuisome namba
Increment ipo?Kiukwel nimesikitika sana baada ya kukuta mshahara wangu umepungua ukizingatia sisi walimu mishahara midogo makato mengi jumlisha mikopo yaani ni shida tupu. Hacha tuisome namba
Salary slip ya mwezi huu inakuja mwezi ujao kwa ninavyofahamu.Salary slip Utakayoikuta ni ya mwezi wa nane.Sasa kama mwalim mzima,unashindwa kujua kwanini unakatwa.Hao wanafunzi assignments mnazowapa inakuwaje kweli.
Kwenye slip si inaonyesha?maana makato yoyote kweye salary lazima yaonyeshe ni makato ya nini.
Fuailia,acha kulalamika Mwalim unaenitia mashaka na taaluma.
Dawa ni Kuacha kazi tu, acha kulalamaKiukwel nimesikitika sana baada ya kukuta mshahara wangu umepungua ukizingatia sisi walimu mishahara midogo makato mengi jumlisha mikopo yaani ni shida tupu. Hacha tuisome namba
Kwni slip unapewa siku ile ile ambayo unapokea mshahara????????Sasa kama mwalim mzima,unashindwa kujua kwanini unakatwa.Hao wanafunzi assignments mnazowapa inakuwaje kweli.
Kwenye slip si inaonyesha?maana makato yoyote kweye salary lazima yaonyeshe ni makato ya nini.
Fuailia,acha kulalamika Mwalim unaenitia mashaka na taaluma.
Hiyo ndio inaitwa kupatwa kwa mshahara. Tutaelewa tuuKiukwel nimesikitika sana baada ya kukuta mshahara wangu umepungua ukizingatia sisi walimu mishahara midogo makato mengi jumlisha mikopo yaani ni shida tupu. Hacha tuisome namba