Nimekataa kumpongeza Mrisho Gambo

Nimekataa kumpongeza Mrisho Gambo

Juliana Shonza

Unataka kutuaminisha kuwa '' mfumo '' sasa hivi ni msafi.. Inawezekana. Ila tatizo ni kuwa Kuna '' mfumo '' mwingine unajengeka ambao unaweza kuwa hatari zaidi ya ule wa kwanza.

Ni kweli Juliana Shonza

Humfahamu Mrisho Gambo,na nashangaa unatowaje sifa kwa mtu usiyemfahamu.Mrisho kweli ni jeuri,ana kiburi na matusi ya nguoni.Hata wewe ukikaa vibaya lazima akutukanie hata mzazi wako.

Ingekuwa vema ungekaa kimya kuliko kujipendekeza wakati humjui Gambo.Wewe unayejiita mwanamke mpambanaji inabidi ujipambambanue,maana wanawake wenzako alikopita Gambo kama kiongozi wamedharirishwa sana,kuanzia Korogwe mpaka Uvinza.

Nilidhani utamuonyaa aachane na tabia za matusi....Hapa chini ni ushahidi wa wanawake wenzake,wenye kuzunguka round about kila mwezi walivyoshuhudia tabia mbovu za huyo unayemsifia.


"Mhe. Gambo analalamikiwa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa Matumizi mabaya ya uongozi yakiwemo matumizi ya lugha chafu, kukiuka sheria mbalimbali pamoja na ubabe wakati wa kutekeleza majukumu yake kama Mkuu wa Wilaya ya Korogwe

Pia Shahidi huyo alidai kuwa Mkuu huyo wa Wilaya aliwahi kumtukana hadharani matusi ya nguoni Mtumishi mmoja wa kike wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe ambaye alikuwa ni Mwanasheria wa Halmashauri hiyo na kupelekea mtumishi huyo kufungua kesi Mahakamani dhidi ya Mkuu huyo wa Wilaya, kesi ambayo alidai bado inaendelea mpaka sasa

Kwa mujibu wa Mhandisi Mwahalende, katika kipindi hicho utendaji wa Mkuu huyo wa Wilaya haukuwa mzuri kwa mambo ambayo yeye mwenyewe ameshuhudia ambayo ni pamoja na lugha chafu ambayo haistahili kuzungumzwa na Kiongozi, Utawala wa mabavu na amekuwa ni kikwazo cha maendeleo ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe kwa kukwamisha miradi mbalimbali ya maendeleo"
 
254bab0f73c9c135c74ed5661514dc8e.jpg

CCM (Chuo cha Mafisadi)
 
Hivi ule usemi Wa mti mzuri ndio upigwao mawe una apply hapa kwa mleta mada....màana naona anashambuliwa si mchezo!!!
 
teh vijana jeuri wasiokosoa katiba iliyopo na kuunga mkono katiba ya warioba? mbona sikuwahi kumskia kwenye issues za maana?....ccm bana mna kazi ya kumponda lowassa mwanzo mwisho....hakuna shujaa hapo wote ni walewale.....nchi inahitaji vichwa vitano kama tundu lissu sio huyo jamaa
 
Huyu Gambo si ndio alimwita mwanasheria wake ana digrii ya chupi? Sssa wewe Shonsha msifie tu mume wa mwenzio, atakapokugeuka na kukuambia nawe viti maalumu umwvitapata kwa chu.pi usije kulalamika!
 
mbona hoja zako zinapingana??
kwa aliyesoma mada yako akaielewa, akikusikia tena unasema humjui na humpongezi Gambo atakuona mnafiki mkubwa.
My take: Badili title yako halafu rekebisha pale unaposema "Kimsingi mimi simfahamu sana
na sina maelezo mengi kuhusu
mtu niliyeamua kumzungumza
leo mwenye jina la MRISHO
MASHAKA GAMBO"
......ili ukate mizizi ya unafiki na uongo!!
 
Nilijua anaandika kitu cha kipekee sana, hasa alipoanza ku quote vitabu vya dini. Mapunda na wenzake ni zao la UVCCM pia hujamaliza makala yako.
 
Yaani hii ndo akili ya viti maalum wengi. Purely useless.
Mi ni mwanamke ila sipendi viti maalum maana hiyo empowerment ni useless.
Pole sana,ndio. hivyo lazima wajipendekeze!Anakiri kutomjua halafu anamwaga sifa kedekede!Niliposoma heading nikashtuka,nikasema haiwezekani akosoe uteuzi wa Rais!Baada ya kuona kilichoandikwa ndio nikasema yes,this is ccm material!
Ndio wabunge tulionao,kujipendekeza kwingi hata kwa mambo ya kipuuzi!Hebu fikiri mtu anakaa chini kumwagia sifa kedekede mtu anayekiri hamjui,huu si ujinga na uzoba wa hali ya juu?
Kesho akiteuliwa mtu mwenye uwezo kuwa RC huyu dada anaweza asije hapa kusifia,huwa wanakazana kusifia penye udhaifu ili kumridhisha Mfalme aliyeteua!Pamoja na yeye kuwa mwanamke,eti anasahau huyu anayemsifia ana matatizo na kashfa za udhalilishaji wanawake!Shame on you@Juliana Shonza
 
Hehehe kweli umetisha
Mie nakukubari kwa Uandishi wako
 
Eti chaguo la Mungu,yaani Mungu achague Mburula ka yule acha kujipendekeza ,unamfahamu Gambo kweli wewe?
 
CCM ndio imejaa ****** wote "humfahamu" lakini hatokuangusha na unampongeza sana?! Juliana tulia tu maana kila ukisema unaharibu na kuonesha jinsi ulivyo MBUMBUMBU.
Hata Nashindwa kumuelewa huyu bibie katunukiwa ubunge atulie, anajidhalilisha tu ananuudhi sana yaani
CCM ndio imejaa ****** wote "humfahamu" lakini hatokuangusha na unampongeza sana?! Juliana tulia tu maana kila ukisema unaharibu na kuonesha jinsi ulivyo MBUMBUMBU.
 
Tuache unafiki,kwenye swala la posho wote mko pamoja na bora hata wapinzani huwa wana-sacrifice posho zao wanapoamua kupinga baadhi ya mambo kama vile waliyofanya kwenye Bunge la Katiba.
Wapinzani unao wasema? LEMA alileta uzi humu jukwaani kumpinga Zitto juu ya posho, na kumwambia anataka sifa
 
Back
Top Bottom