Huko alikotoka aliweza kukomesha ulichokisema?Kwa sifa hizo ni dhahiri sasa kuwa tatizo la UFISADI NA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA Chuo cha Ufundi Arusha litapata suluhisho.
Kelele zilipigwa sana Chuo cha Uhasibu Arusha, hatua zikachukuliwa Mkuu wa Chuo Prof. Monyo akaondolewa. Kelele za aina hiyohiyo zikapigwa sana Chuo cha Nelson Mandela Arusha, Mkuu wa Chuo Prof. Mwamila akaamua kujiuzulu. Kelele za aina hiyohiyo zimepigwa na zinaendelea kupigwa sana Chuo cha Ufundi Arusha, ili hatua kama zilizochukuliwa katika vyuo nilivyovitaja ziweze kuchukuliwa.
Chuo cha Ufundi Arusha kinakabiliwa na Ufisadi na Matumizi mabaya ya ofisi unaoelezewa kuwa zaidi sana ikilinganishwa na uliolalamikiwa katika vyuo nilivyovitaja. Lakini waliofanya ufisadi Chuo cha Ufundi Arusha bado wako ofisini wakiendelea na ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka kama kawaida yao walivyozoea. Wakubwa wa chuo hiki hawana hofu wala hawajali kama hali ya kiuongozi wa Nchi imeshabadilika na Ufisadi unapigwa vita kila mahali. Ni wakati sasa wa kila anayechukia ufisadi kumsaidia Mh. Raisi Magufuli kuondokana na janga hili.
Pengine Mteule Gambo atalisikia na kuchukua hatua zinazostahili
ha haa haasa umenifanya nicheke kwa sauti mkuu...lolHivi mbona sijawahi kukuona ukiwasifia wanawake?
Kuuza Tanzania yetu ndilo jambo kubwa zaidi ya kuuza lichama la majambaziNa cha ajabu vijana hao hao wanaosifiwa kulelewa vizuri ndo waliouza Mali za chama kule iringa teh teh teh! Chama hiki hakiishi mikosi
Unadhani inasaidia. ?Mnafiki katika ubora wako Juliana Shonza
Inasaidia kwa wasiokujua wewe ni mnafiki kukutambua sasaUnadhani inasaidia. ?