Nimekataa kumpongeza Mrisho Gambo

Nimekataa kumpongeza Mrisho Gambo

Achaneni na Juliana,huyo hawezi kujenga hoja. Anaandikiwa ndipo anaipost huku jukwaani. Sijawahi kumsikia hata akitoa hoja bungeni.

Huku anaandikiwa kisha kuanzisha uzi wake wa ajabu ajabu.

Anatumia kifaa gani kuandika
 
Juiana Shonza umezita posho za madiwai wa jiji la Arusha kuwa ni za kifisadi na umeonekana kuunga mkono uamuzi wa serikali za kuzifuta.

Sasa nikuulize wewe unaepokea sitting allowance pale Bungeni unajiona ndio uko sahihi?

Wewe unaelipwa perdiem na sitting allowance juu,unapata wapi uhalali wa kuita posho ya hao madiwani kuwa ni ya kifisadi?

Kama kwei unaguswa n
Nyani haoni kundule.. Anasahau mkia wake ni mrefu kuliko
 
Wewe mwanamke ccm ina wenyewe ,jishebedue tu

Hebu jasiri wewe toka hadharani mwambie Magufuli maandamano ni jambo la kikatiba na anavunja katiba kukataza
 
Kwa sifa hizo ni dhahiri sasa kuwa tatizo la UFISADI NA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA Chuo cha Ufundi Arusha litapata suluhisho.

Kelele zilipigwa sana Chuo cha Uhasibu Arusha, hatua zikachukuliwa Mkuu wa Chuo Prof. Monyo akaondolewa. Kelele za aina hiyohiyo zikapigwa sana Chuo cha Nelson Mandela Arusha, Mkuu wa Chuo Prof. Mwamila akaamua kujiuzulu. Kelele za aina hiyohiyo zimepigwa na zinaendelea kupigwa sana Chuo cha Ufundi Arusha, ili hatua kama zilizochukuliwa katika vyuo nilivyovitaja ziweze kuchukuliwa.

Chuo cha Ufundi Arusha kinakabiliwa na Ufisadi na Matumizi mabaya ya ofisi unaoelezewa kuwa zaidi sana ikilinganishwa na uliolalamikiwa katika vyuo nilivyovitaja. Lakini waliofanya ufisadi Chuo cha Ufundi Arusha bado wako ofisini wakiendelea na ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka kama kawaida yao walivyozoea. Wakubwa wa chuo hiki hawana hofu wala hawajali kama hali ya kiuongozi wa Nchi imeshabadilika na Ufisadi unapigwa vita kila mahali. Ni wakati sasa wa kila anayechukia ufisadi kumsaidia Mh. Raisi Magufuli kuondokana na janga hili.

Pengine Mteule Gambo atalisikia na kuchukua hatua zinazostahili
 
Mnafiki saan huyu dada,eti anjiita Mlokole.Ukishaingia kwenye siasa za ulaghai na chuki pamoja na ufitini kama za CCM huwezi kujigamba kwa ulokole.

Ilikuwa ni kuchagua moja,utajili katka roho au fahari ya maisha katika mwili.Umechagua lililo moja na hakika huko ndio mahali pako.
Wanatufanya watanzania wajinga!
 
Left overs za Chadema zinatapatapa sana, kumbe UVCCM ndiyo kazi yenu kuzalisha products kama za kina Sixtus Mapunda and the likes...
 
Juiana Shonza umezita posho za madiwai wa jiji la Arusha kuwa ni za kifisadi na umeonekana kuunga mkono uamuzi wa serikali za kuzifuta.

Sasa nikuulize wewe unaepokea sitting allowance pale Bungeni unajiona ndio uko sahihi?

Wewe unaelipwa perdiem na sitting allowance juu,unapata wapi uhalali wa kuita posho ya hao madiwani kuwa ni ya kifisadi?

Kama kwei unaguswa na malipo ya aina hii, mbona hatukuoni ukichukua hatua za kupinga sitting allowance za wabunge hata kwa kupeleka hoja binafsi Bungeni kutaka posho hizo zifutwe?

Niwaambie tu kwenye posho CCM na wapinzani wote lenu ni moja tu tena bora hata wapinzani wakati mwingine huwa wako tayari ku-sacrifice posho zao kutetea maswala ya kitaifa kama tulivyoona kwenye Bunge la Katiba na majuzi katika kumpinga Naibu Spika.
Siyo kweli kabisa kuwa laki tatu na nusu ni ufisadi. Mbona wao wanalipwa mamilioni mbali na posho nyingine! Hiyo siasa haiwafikishi popote.! Arusha ni ya CHADEMA hata mfanyeje!
 
Nimetamani kulia. Ubarikiwe Juliana na Idumu Ccm na Uvccm iliyo safi.
 
In the honor of dictatorship! bootlickers enjoy the left overs of their masters at the amidst of severe hunger and famine!!
Eti mtu humjui utawezaje kummwagia sifa usiyemjua!!
Harafu Juliana ni Mbungef shida yako nini??
Hujui shida zote na matatizo yote yameletwa na hao MaCCM??
Mhs Rais anajaribu kufukia na kupotezea ushahidi na kulinda wahusika.
Lakini watu si wajinga wanazo kumbukumbu!!
Hivyo Gambo hawezi kufanya kinyume na Boss wake!!
 
CCM bwaaaaaana LOWASA tu ndio fisadi kwao hapa tu ndio uwa nashindwa kuwaamini kabisa na sitaweza kuja kupiga kura kwa mtu yoyote wa CCM wala sitaweza kuja kujitolea kwa kitu chochote kwa CCM mana ntakuwa nafanya unafiki na mimi sio mnafiki majizi yamejaaa uko kama yule wa bariadi, wale wa ESCROW, chenji ya radar, nyumba za serikali, lugumi at least wangekuwa wanayataja na mengine kama wanavyomtaja LOWASA ningekuwa na imani ila wao fisadi lowasa wakati kuna wakina lowasa umo na zaidi ya lowasa kibao.
Na cha ajabu vijana hao hao wanaosifiwa kulelewa vizuri ndo waliouza Mali za chama kule iringa teh teh teh! Chama hiki hakiishi mikosi
 
Hakika,umenena kweli.CCM bado itaedelea kutoa viongozi mbalimbali wa nchi hii kwa karne nyingi zijazo...na hata kwa upande wa upinzani wataendelea kupata wagpmbea wa nafasi mbalimbali kuanzia mashinani hadi uraisi kutoka CCM...hili halina ubishi.
Wa kudadavua nakushauri ukadadavuzi kabisa ile katiba ili ikibidi tusipoteze pesa kwenye Demokrasia isiyotija wala kuheshimiwa
 
mbona hujaelezea alivyo mtusi yule mwanamke kule korogwe! njaa mbaya sana
 
Back
Top Bottom