MUTTAZ
JF-Expert Member
- Feb 27, 2016
- 296
- 237
Miaka 27 michache sana japo ulistahili kuwa ushaolewa kitambo, mm wife wangu nimemuoa akiwa na miaka 24 kwenda 25 namm nikiwa 30 so naamini hujachelewa sana, wanaostahili kulalama niwale wenye 40 na bado wanaishi kwa wazazi na hawana hata watoto wa kusingiziwa!Habari wana janvi.
Mimi ni msichana nina miaka 27, kiukweli nimekata tamaa ya kuolewa. Kwa sababu wenzangu wote wameolewa.
Na mchumba niliyekuwa namtegemea kuwa mume wangu. Ndo huyo hayupo tayari hata kutambulishana hata kwao tu.
Kuna mda najuta kwanini nilianzia uhusiano nae. Maana ni mwanamke nliekuwa mwaminifu kwake sana. Na sijafikiriaga hata kuwa na mchepuko kutokana na kujiheshimu kwangu.
Lakini nimekata tamaa simuoni muoaji hapa. Naumia sana moyoni kama kuna mtu ambae alipitia hili au anapitia hili nadhani atakuwa anajua maumivu ninayopata. Kila nikifikiria sina tabia za ajabu.
Najishangaa mwenyewe. Mpaka nawaza labda nami ningekuwa ni mwanamke ambae hajatulia ningeshaolewa? Kwa sababu wale wenzangu walikuwa hawajatulia hata kidogo lakini wameolewa.Naumia sana. Ee Mungu nisaidie. Au nawaza kuna kitu gani labda nimefanyiwa?
Mawazo yenu fafadhali, angalau yatanitia moyo.
Japo kuna mengine yataniumiza bila kujali moyo wangu.
Ila kitu kingine kwa wanaume wa siku hizi si waoaji walio wengi ukijumlisha na hali ya Anco Magu ndugu unaweza isoma pia ndoa kwenye mitandao! Ndo maana mm huwa nawahusudu wale mabinti wanao date na waume za watu kuliko kudate na mtu asiye na mke anaishia kukula tu na kuoa ataoa kwingine, so unapodate na mume wa mtu unajua fika huyo si wako na akitokea asiye mume wa mtu nikumbania tu pasipo kumpanulia mwishowe atakuona wa maana na jasiri na mtulivu faster ataenda kujitambulisha na kutoa mahali, cha msingi vumilia usitoe papuchi kwa mtu mtu ambaye hajakuoa toa utakapooa vinginevyo utajikuta umetengeneza foleni ndeeeefu ya waonjaji!