Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,248
- 6,264
Dah JF tunafeli wapi? Tangu 2016 hamkumsaidia huyu jamaa?
Safi kaka angu!!!Hata mimi mwenyewe deaf ila sijakata tamaa kihivyo Nina miaka 30 sijawahi kuwa Hata na mpenzi, japo najitegemea nafanya Biashara
TENZI ZA ROHONIUmri wangu miaka 23, Elimu yangu Form IV na Elimu ya Ufundi wa Umeme Level Two. Changamoto yangu mimi ni deaf (Kiziwi) ila nina uwezo wa kuongea na kumfundisha mtu akaelewa vizuri. Nilishawai kufundisha katika Chuo kimoja cha Ufundi somo la Theory Level One, niliacha kutokana na chuo hicho kufungiwa na VETA kwa kutosajiliwa.
Nimepitia machungu mengi sana, nakumbuka nilishawahi kukataliwa shule kwa sababu nitawapa tabu walimu katika ufundishaji sababu I am deaf pia walimu hawafahamu sign language. Pia na mimi sifahamu haya matatizo yalinikuta kipindi na miaka 17.
Wakuu na wanajukwaa wote, nimekaa nyumbani nikiwa nimekosa raha kabisaa. Nimeumia na kuumia sana, sina furaha tena katika maisha yangu ndoto zangu zakuja kuwapigania watu wenye matatizo ya ulemavu zimezima kabisa na Serikali hii ya Mama Ndalichako tena natamani kuchana hata Cheti changu chenye sahihi yakE.
Sina rafiki, sina mpenzi, sina kazi wakuu. Nipo siliasi. nipo njiani kunywa sumu wadau hapa nimejitaidi sana kuandika but ukweli bora kifo kuliko mateso
Shukrani mkuuTENZI ZA ROHONI
155. Hapana Rafiki Kama Yesu
1. Hapana rafiki kama Yesu,
Yu pekee, Yu pekee;
Hapana mpozi kama Yesu
Yu pekee, Yu pekee.
Yesu ajua shida zetu,
Aweza kutuongoza;
Hapana rafiki kama Yesu,
Yu pekee yu pekee.
2. Yeye anaye sifa, ni Yesu
Yu pekee, yu pekee;
Ndiye aliye mnyenyekevu
Yu pekee, yu pekee;
Yesu ajua……
3. Yesu pamoja nasi daima,
Yu pekee, yu pekee;
Kwa usiku aleta salama,
Yu pekee, yu pekee;
Yesu ajua……
4. Kulinda Yesu yu Mwaminifu,
Yu pekee, yu pekee;
Atawakubali wahalifu,
Yu pekee, yu pekee;
Yesu ajua…..
5. Alipelekwa awe mwokozi,
Yu pekee, yu peee;
Anatutayarisha enzi
Yu pekee, yu pekee;
Yesu ajua…….
Shared From Tenzi za Rohoni Toleo Jipya. Click this link to download Tenzi za Rohoni - Toleo Jipya - Apps on Google Play
Mwanangu dah pole sana. Binafsi nimeguswa sana na suala lako ila mm ni mtu tu wa kawaida sana siwez kua na msaada wa moja kwa moja.Mkuu sijui tatizo nini wadau awasaidii watu siku hizi 3 yrs mkuu bado tu mkuu
Mkuu sijui tatizo nini wadau awasaidii watu siku hizi 3 yrs mkuu bado tu mkuu
Umri wangu miaka 23, Elimu yangu Form IV na Elimu ya Ufundi wa Umeme Level Two. Changamoto yangu mimi ni deaf (Kiziwi) ila nina uwezo wa kuongea na kumfundisha mtu akaelewa vizuri. Nilishawai kufundisha katika Chuo kimoja cha Ufundi somo la Theory Level One, niliacha kutokana na chuo hicho kufungiwa na VETA kwa kutosajiliwa.
Nimepitia machungu mengi sana, nakumbuka nilishawahi kukataliwa shule kwa sababu nitawapa tabu walimu katika ufundishaji sababu I am deaf pia walimu hawafahamu sign language. Pia na mimi sifahamu haya matatizo yalinikuta kipindi na miaka 17.
Wakuu na wanajukwaa wote, nimekaa nyumbani nikiwa nimekosa raha kabisaa. Nimeumia na kuumia sana, sina furaha tena katika maisha yangu ndoto zangu zakuja kuwapigania watu wenye matatizo ya ulemavu zimezima kabisa na Serikali hii ya Mama Ndalichako tena natamani kuchana hata Cheti changu chenye sahihi yakE.
Sina rafiki, sina mpenzi, sina kazi wakuu. Nipo siliasi. nipo njiani kunywa sumu wadau hapa nimejitaidi sana kuandika but ukweli bora kifo kuliko mateso
PoleUmri wangu miaka 23, Elimu yangu Form IV na Elimu ya Ufundi wa Umeme Level Two. Changamoto yangu mimi ni deaf (Kiziwi) ila nina uwezo wa kuongea na kumfundisha mtu akaelewa vizuri. Nilishawai kufundisha katika Chuo kimoja cha Ufundi somo la Theory Level One, niliacha kutokana na chuo hicho kufungiwa na VETA kwa kutosajiliwa.
Nimepitia machungu mengi sana, nakumbuka nilishawahi kukataliwa shule kwa sababu nitawapa tabu walimu katika ufundishaji sababu I am deaf pia walimu hawafahamu sign language. Pia na mimi sifahamu haya matatizo yalinikuta kipindi na miaka 17.
Wakuu na wanajukwaa wote, nimekaa nyumbani nikiwa nimekosa raha kabisaa. Nimeumia na kuumia sana, sina furaha tena katika maisha yangu ndoto zangu zakuja kuwapigania watu wenye matatizo ya ulemavu zimezima kabisa na Serikali hii ya Mama Ndalichako tena natamani kuchana hata Cheti changu chenye sahihi yakE.
Sina rafiki, sina mpenzi, sina kazi wakuu. Nipo siliasi. nipo njiani kunywa sumu wadau hapa nimejitaidi sana kuandika but ukweli bora kifo kuliko mateso
Shukrani mungu ni mwema tuPole
Usikate tamaa, Mungu anaijua kesho yako.
Mambo yatakuwa sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app