Nimekata tamaa. Sina kazi na sina rafiki

bado unanafasi ya kuish kila maisha tunayopiga mingu yuko nyuma yetu ndo anajua mwisho wa safari yetu hapa duniani so acha hzo mambo za kukatisha uhai wako mjuba kila mtu ana majanga yake tukisema wote tuyamwage nani atasimama kumsaidia mwenzie mkuu so never give up man and you will never walk alone mkuu just keep moving when you fall down five stand up for eight and keep walking man
 
Umri wangu miaka 23, Elimu yangu Form IV na Elimu ya Ufundi wa Umeme Level Two. Changamoto yangu mimi ni deaf (Kiziwi) ila nina uwezo wa kuongea na kumfundisha mtu akaelewa vizuri. Nilishawai kufundisha katika Chuo kimoja cha Ufundi somo la Theory Level One, niliacha kutokana na chuo hicho kufungiwa na VETA kwa kutosajiliwa.

Nimepitia machungu mengi sana, nakumbuka nilishawahi kukataliwa shule kwa sababu nitawapa tabu walimu katika ufundishaji sababu I am deaf pia walimu hawafahamu sign language. Pia na mimi sifahamu haya matatizo yalinikuta kipindi na miaka 17.

Wakuu na wanajukwaa wote, nimekaa nyumbani nikiwa nimekosa raha kabisaa. Nimeumia na kuumia sana, sina furaha tena katika maisha yangu ndoto zangu zakuja kuwapigania watu wenye matatizo ya ulemavu zimezima kabisa na Serikali hii ya Mama Ndalichako tena natamani kuchana hata Cheti changu chenye sahihi yakE.

Sina rafiki, sina mpenzi, sina kazi wakuu. Nipo siliasi. nipo njiani kunywa sumu wadau hapa nimejitaidi sana kuandika but ukweli bora kifo kuliko mateso
TENZI ZA ROHONI

155. Hapana Rafiki Kama Yesu

1. Hapana rafiki kama Yesu,
Yu pekee, Yu pekee;
Hapana mpozi kama Yesu
Yu pekee, Yu pekee.

Yesu ajua shida zetu,
Aweza kutuongoza;
Hapana rafiki kama Yesu,
Yu pekee yu pekee.

2. Yeye anaye sifa, ni Yesu
Yu pekee, yu pekee;
Ndiye aliye mnyenyekevu
Yu pekee, yu pekee;
Yesu ajua……

3. Yesu pamoja nasi daima,
Yu pekee, yu pekee;
Kwa usiku aleta salama,
Yu pekee, yu pekee;
Yesu ajua……

4. Kulinda Yesu yu Mwaminifu,
Yu pekee, yu pekee;
Atawakubali wahalifu,
Yu pekee, yu pekee;
Yesu ajua…..

5. Alipelekwa awe mwokozi,
Yu pekee, yu peee;
Anatutayarisha enzi
Yu pekee, yu pekee;
Yesu ajua…….

Shared From Tenzi za Rohoni Toleo Jipya. Click this link to download Tenzi za Rohoni - Toleo Jipya - Apps on Google Play
 
Shukrani mkuu
 
Mkuu sijui tatizo nini wadau awasaidii watu siku hizi 3 yrs mkuu bado tu mkuu
Mwanangu dah pole sana. Binafsi nimeguswa sana na suala lako ila mm ni mtu tu wa kawaida sana siwez kua na msaada wa moja kwa moja.

Ila nomba tu nikushauri uende pale twitter kama huna account ufungue ujieleze watu watakusaidia. Wengi tu wamesaidiwa. Hii jf ilkua zaman saiv hakuna kitu.
 
Kama bado unafanya hizi kazi za umeme, njoo PM tuyajenge. Kuna kazi ya wiring dsm nikupasie.
Umri wangu miaka 23, Elimu yangu Form IV na Elimu ya Ufundi wa Umeme Level Two. Changamoto yangu mimi ni deaf (Kiziwi) ila nina uwezo wa kuongea na kumfundisha mtu akaelewa vizuri. Nilishawai kufundisha katika Chuo kimoja cha Ufundi somo la Theory Level One, niliacha kutokana na chuo hicho kufungiwa na VETA kwa kutosajiliwa.

Nimepitia machungu mengi sana, nakumbuka nilishawahi kukataliwa shule kwa sababu nitawapa tabu walimu katika ufundishaji sababu I am deaf pia walimu hawafahamu sign language. Pia na mimi sifahamu haya matatizo yalinikuta kipindi na miaka 17.

Wakuu na wanajukwaa wote, nimekaa nyumbani nikiwa nimekosa raha kabisaa. Nimeumia na kuumia sana, sina furaha tena katika maisha yangu ndoto zangu zakuja kuwapigania watu wenye matatizo ya ulemavu zimezima kabisa na Serikali hii ya Mama Ndalichako tena natamani kuchana hata Cheti changu chenye sahihi yakE.

Sina rafiki, sina mpenzi, sina kazi wakuu. Nipo siliasi. nipo njiani kunywa sumu wadau hapa nimejitaidi sana kuandika but ukweli bora kifo kuliko mateso
 
Umri wangu miaka 23, Elimu yangu Form IV na Elimu ya Ufundi wa Umeme Level Two. Changamoto yangu mimi ni deaf (Kiziwi) ila nina uwezo wa kuongea na kumfundisha mtu akaelewa vizuri. Nilishawai kufundisha katika Chuo kimoja cha Ufundi somo la Theory Level One, niliacha kutokana na chuo hicho kufungiwa na VETA kwa kutosajiliwa.

Nimepitia machungu mengi sana, nakumbuka nilishawahi kukataliwa shule kwa sababu nitawapa tabu walimu katika ufundishaji sababu I am deaf pia walimu hawafahamu sign language. Pia na mimi sifahamu haya matatizo yalinikuta kipindi na miaka 17.

Wakuu na wanajukwaa wote, nimekaa nyumbani nikiwa nimekosa raha kabisaa. Nimeumia na kuumia sana, sina furaha tena katika maisha yangu ndoto zangu zakuja kuwapigania watu wenye matatizo ya ulemavu zimezima kabisa na Serikali hii ya Mama Ndalichako tena natamani kuchana hata Cheti changu chenye sahihi yakE.

Sina rafiki, sina mpenzi, sina kazi wakuu. Nipo siliasi. nipo njiani kunywa sumu wadau hapa nimejitaidi sana kuandika but ukweli bora kifo kuliko mateso
Pole
Usikate tamaa, Mungu anaijua kesho yako.
Mambo yatakuwa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom