Nimekata tamaa na CHADEMA!

Nimekata tamaa na CHADEMA!

Mbinu pekee tuliyobaki nayo sasa hivi ni kurusha Chopa na kusingizia daftari la wapiga kura.Hatuna mbinu mpya! Imefika mahala sioni jipya mbele yangu,mimi na wanangu sasa tumepoteza matumaini juu ya Chama chetu.Ushindi sasa kwetu mwiko!

Inakera sana!

Hamia ACT ambako hawana chopa
 
Chaga development manifesto (chadema) at work.

Our slogan Chopa tatu kata tatu

Our padre ( dr. Slaa) mnywa gongo.
Mwenyekiti wetu ( mbowe) xdeejay mkata kiuno
Mungu mbariki lema ( godbless lema) mliwa kabaang.

Umebaki na ubaguzi wa kikabila kwa kuwachukia Wachaga na Ubaguzi wa Kidini kwa Kuwachukia Wakatoliki
 
jamani mimi nauliza tu, hivi zile ahadi za mheshimiwa 'ametelekeza' na 'ametekeleza' ngapi???zile alizojinadi nazo mwaka 2010??

  • katiba mpya
  • serikali ya umoja zanzibar
  • vyuo vikuu , dodoma n.k
  • huduma za afya muhimbilia ,nk
  • bandari inaongoza
  • barabara km 64,000
  • vivvuko
  • mwendo kasi barabara
  • treni za jiji , ubungo -posta, tazara-chanika
  • maji dar es salaam , mradi mkubwa
  • ajira - boda boda, kilimo kwa kutoa pembejeo ndo maana maghala ya taifa yamefulika vyakula
  • mradi wa gesi- ufumbuzi wa umeme unakamilika
  • viwanda( cement, vinyaji, nondo, jypsum.nk
  • mikopo vyuo vikuu 60,000 wanafunzi vyuo vikuu
  • ujenzi wa shule 8000 za kata .
n.k
 
mbinu pekee tuliyobaki nayo sasa hivi ni kurusha chopa na kusingizia daftari la wapiga kura.hatuna mbinu mpya! Imefika mahala sioni jipya mbele yangu,mimi na wanangu sasa tumepoteza matumaini juu ya chama chetu.ushindi sasa kwetu mwiko!

Inakera sana!
'' no easy walk to freedom''
 
kama wewe ni mkristo,huenda ungemuasi Musaa kule jangwani.Walikua ktk safari ya kwenda nchi ya ahadi,yanye maziwa na asali,ila walikata tamaa na wengi wa namna yako walitamani sana kurudi misri,hawakufika nchi ya ahadi.

Kama mmekata tamaa,sisi tunasonga!
 
  • katiba mpya
  • serikali ya umoja zanzibar
  • vyuo vikuu , dodoma n.k
  • huduma za afya muhimbilia ,nk
  • bandari inaongoza
  • barabara km 64,000
  • vivvuko
  • mwendo kasi barabara
  • treni za jiji , ubungo -posta, tazara-chanika
  • maji dar es salaam , mradi mkubwa
  • ajira - boda boda, kilimo kwa kutoa pembejeo ndo maana maghala ya taifa yamefulika vyakula
  • mradi wa gesi- ufumbuzi wa umeme unakamilika
  • viwanda( cement, vinyaji, nondo, jypsum.nk
  • mikopo vyuo vikuu 60,000 wanafunzi vyuo vikuu
  • ujenzi wa shule 8000 za kata .
n.k
Mkuu huna hata aibu, siku nyingine usirudie kuandika haya.
 
Mbinu pekee tuliyobaki nayo sasa hivi ni kurusha Chopa na kusingizia daftari la wapiga kura.Hatuna mbinu mpya! Imefika mahala sioni jipya mbele yangu,mimi na wanangu sasa tumepoteza matumaini juu ya Chama chetu.Ushindi sasa kwetu mwiko!

Inakera sana!
vipi ATC uzinduzi lini Dar?
 
Heshima kwenu wakuu.
kwa nitakaowaudhi waniwie radhi.
_Mimi ni mwanachama wa chadema na nina kadi hai kabisa ninafurahiswa na viongozi wa chadema wakiwemo wabunge na madiwani majukwaani tu na si kwenye maendeleo...
kwa muktadha huo hata hili jukwaa la siasa nilikuwa mchagiaji mzuri sana kwa kuitetea chadema ndio sasa nikaamua leo niwaage rasimi hapa kwa kuwa ccm siwapendi na chadema siipendi ila nitabaki na kadi yangu hadi hapo watakapokuja viongozi watakaoleta maendeleo.
kama alivyokwishatuahidi. Dr.W.Slaa wakati anamnadi diwani wa kirumba Danny kaungu kuwa atahakikisha kata na majimbo yanayoongozwa na chadema yatakuwa mfano wa kuigwa kauli nayoifananisha na ya maisha bora.
_leo nawaaga rasim wakuu wa jukwaa hili la siasa !
__NB jimbo la Nassari na Mnyika tu ndio walau utasema kuna uongozi wa mbunge!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu, hiyo ndi siasa. Siku hiz ni kama ujasiriamali.
 
Back
Top Bottom