Nimekata tamaa na CHADEMA!

Nimekata tamaa na CHADEMA!

ukilala na kuamka...Sindelusis Wariobalisis, Sindiism Wariobacts itakuwa imeshuka kichwani....
 
ukilala na kuamka...Sindelusis Wariobalisis, Sindiism Wariobacts itakuwa imeshuka kichwani....

Chaga development manifesto (chadema) at work.

Our slogan Chopa tatu kata tatu

Our padre ( dr. Slaa) mnywa gongo.
Mwenyekiti wetu ( mbowe) xdeejay mkata kiuno
Mungu mbariki lema ( godbless lema) mliwa kabaang.
 
Chaga development manifesto (chadema) at work. Our slogan Chopa tatu kata tatu Our padre ( dr. Slaa) mnywa gongo. Mwenyekiti wetu ( mbowe) xdeejay mkata kiuno Mungu mbariki lema ( godbless lema) mliwa kabaang.
ukilala na kuamka...Sindelusis Wariobalisis, Sindiism Wariobacts itakuwa imeshuka kichwani....
 
Kunyimwa kujiandikisha kupiga kura ni kunyimwa haki ya msingi. Wajitokeze vijana, wakisaidiwa na chama cha CHADEMA, waweke zuio kwenye uchaguzi Chalinze mpaka wapewe nafasi ya kujiandikisha kupiga kura kwanza.
 
hakuna kijana wa chalinze atakaepigia kura chagadema. tanzania haiwezi kuongozwa na chama cha kikabila chagadema
 
Vijana wengi wa kitanzania walio ahidiwa ahadi kemu kemu na chama cha kiraghai cha upinzani (CDM) Wamekata tamaa.

Hii ni baada ya vichapo mfurulizo kukiandama chama hicho. Na chama hicho kutumia gharama kubwa za uchaguzi huku wapiga kura wakila ugali na kachumbali.

Vilevile imeelezwa na vijana wa kuaminika kutoka chama hicho kuwa waliahidiwa madonge manono kiasi cha vijana hao kutumia nguvu nyingi ikiwamo kuhatarisha maisha yao na watu wemgine.

vijana hao wamekuwa kama wamenyeshewa mvua ya mawe kiasi cha kupotea kwenye mitandao ya kijamii hususani JF. Machachari yao na tambo zao zote kuishia kwenye keyboard za kopyuta huku masanduku ya kura yakitoa somo.

Ombi langu kwa vijana hao warudi kundini (CCM) kusema kweli hatuta watupa.
KARIBUNI SANA CCM TUJENGE NCHI ACHANANENI NA SIASA ZA KIRAGHAI.

Mm ni miongoni mwa vijana hao walioahidiwa mambo makubwa na chagadema lakini ahadi zimeota mbawa. Zamani nilikuwa natumia jina la mwanakijiji kakn sasahv naona aibu sijui hata niufiche wapi uso wangu. Pia huku marekani kibali cha kuishi kimekwisha na chagadema hawajachukua nchi ili nirudi. Enyi CCM mliobarikiwa naomba mnipokee mm mwanakijiji.
Benedict
 
Umekuwa kama mwanamke aliyekung'utwa talaka unaanza kupigwa makelele hovyo,mwanaume anatulia kama umechokwa/umechoka unasepa kimya kimya

Wengine walishafukuzwa lakini eti leo nao wanaichoka CDM,kwendeni zenu huko.
 
kwani tokea mwanzo chadema ilikuwa kwaajili ya kukukomboa wewe, hapo ilikua ni kijiwe tu watu mambo yao yaende kama vijiwe vingine
 
hata hivyo ni kichekesho kulisikia gamba likisema tofauti usemavyo! CDM ndilo tumaini na sauti yetu wanyonge wa taifa hili! Tuna imani na cdm leo kesho na hadi hapo uhuru wa kweli utakapopatikana! CDM 4VER!
 
Usiondoke mkuu kuwa na roho ya kaba! kuwa mzalendo wa Nchi yako kuipiga vita CCM wasiendelee kutunyonya na kujirithisha mema ya Nchi.
Tujipange sasa ktk kufanya mabadiliko ndani ya chama chetu na tushiriki kwa pamoja kupata viongozi wenye nia thabiti ya kumkomboa wanyonge wa nchi hii.
 
Mbinu pekee tuliyobaki nayo sasa hivi ni kurusha Chopa na kusingizia daftari la wapiga kura.Hatuna mbinu mpya! Imefika mahala sioni jipya mbele yangu,mimi na wanangu sasa tumepoteza matumaini juu ya Chama chetu.Ushindi sasa kwetu mwiko!

Inakera sana!

Nenda ACT.
 
Pole. Wengine tunazidi kutiwa moyo na kazi nzuri inayofanywa na chadema. Tulikuwa tunajua kuwa hatuendi kushinda kule Kalenga kwa mazingira yale ya kuwa waliopiga kura mwaka 2010 ni walewale watakaopiga kura sasa lakini tulisema ni lazima tuende kukijenga chama kwa maandalizi ya chaguzi zijazo, kazi ambayo imefanywa vizuri sana. Chopa imesaidia sana kwa kazi hiyo. Hongera Chadema.
 
Ukishajua kilichofanyika kalenga utagundua kuwa CDM ina nguvu saaaaanaaa. Pesa iliyomwagwa na uelewa finyu uliwafanya wapiga kura wengi kununuliwa. Wengi walijifanya hawajui kusoma na kuandika na kupigiwa kura. Wait to see. Usikate tamaa muda utasema
 
Kuna nguvu kubwa sana inatumika kuididimiza Chadema, zikiwamo pia njia za propaganda hasa kwenye mitandao ya jamii. No easy task my friend, ulidhani mafanikio ya Chadema yanashuka tu kama mvua? Ulidhani CCM itatoa ushindi mezani? Ni kupambana kufa na kupona, huu sio wakati kulialia, kama huwezi kaa pembeni na watoto wako.
 
Subiri uchaguzi wa serikali za mitaa ili ujiridhishe je tatizo ni daftari? Ila tukipigwa na hapo basi hata mie ntaungana na wewe katka safari ya kukata tamaa!!
 
Pole. Wengine tunazidi kutiwa moyo na kazi nzuri inayofanywa na chadema. Tulikuwa tunajua kuwa hatuendi kushinda kule Kalenga kwa mazingira yale ya kuwa waliopiga kura mwaka 2010 ni walewale watakaopiga kura sasa lakini tulisema ni lazima tuende kukijenga chama kwa maandalizi ya chaguzi zijazo, kazi ambayo imefanywa vizuri sana. Chopa imesaidia sana kwa kazi hiyo. Hongera Chadema.
Hakuna kitu kibaya kama kupenda kwa kupitiliza.
Kwa watu kama sisi ambao siasa siyo deal sana tunaona tatizo liko wapi lakini wenyewe wakiambiwa ukweli wanakuwa wakali kupitiliza na wakati mwingine hukupachika majina ambayo hayastahili.
Chadema kuna wasomi vijana wengi sana. Hebu fanyeni genuine swot analysis juu ya short comings zenu halafu mzitafutie dawa. Msipofanya hivyo mtakuwa ni watu wa kulalamika na mwisho kuwa kama yule kijana aliyekuwa na dhihaka ya kuwatisha watu kuwa mbwa mwitu anakuja na wanapokwenda kutaka kumuokoa anawacheka lakini kuna siku alitokea mbwa mwitu halisi na kijana huyo alipiga kelele sana za kuomba msaada lakini wanakijiji wakadhani kuwa na masihara yake na kuendelea na shughuli zao ila baadaye wakakuta maiti yake ambayo iliraruriwa na mbwa mwitu na huo ukawa ndiyo mwisho wake
 
Fanya SWOT analysis bila upendeleo na utaona kuwa hata pale Kalenga Chadema kipo juu kuliko kabla ya uchaguzi huo. Mwaka huu kwaweza kuwa na uchaguzi wa serikali za mitaa, na mwakani uchaguzi mkuu. Strength yetu ni kuwa tumefanikiwa kufanya kampeni kubwa na kukujenga chama chetu Kalenga kwa namna ya pekee kabisa. Sasa hivi tuna tawi karibu kila kitongoji kitu ambacho hatukuwa nacho uchaguzi wa 2010. Weakness yetu kubwa ni daftari la wapiga kura kutoboreshwa. Wapenzi na wananachama wetu ni vijana ambao hawamo katoka daftari hilo. Opportunity yetu katika uchaguzi ujao kwa Kalenga kwa mfano ni kubwa sana. Chama kimejengeka kijimbo hivyo kampeni yetu itakuwa rahisi zaidi. Threat yetu bado inabaki tume isiyo huru ya uchaguzi. Kama hakuna mabadiliko katika tume ya uchaguzi mambo yatakuwa ni hayo hayo. Threat yetu ni watu kutishwa na na vyombo vya dola kiasi turn out siku ya uchaguzi inakuwa ni ndogo sana. Katika chaguzi kama ule inakuwa ni mapambano kati ya Chadema na serikali nzima. Matisho ya mtu kama Mwigulu ambaye ni NWaziri wa Fedha kuwa kama si CCM hawatapewa fedha na hazina huwa yana negative impact kwetu. Inshallah mambo yatarekebishwa na tutashinda. Aluta continua!!
 
Back
Top Bottom