Heshima kwenu wakuu.
kwa nitakaowaudhi waniwie radhi.
_Mimi ni mwanachama wa chadema na nina kadi hai kabisa ninafurahiswa na viongozi wa chadema wakiwemo wabunge na madiwani majukwaani tu na si kwenye maendeleo...
kwa muktadha huo hata hili jukwaa la siasa nilikuwa mchagiaji mzuri sana kwa kuitetea chadema ndio sasa nikaamua leo niwaage rasimi hapa kwa kuwa ccm siwapendi na chadema siipendi ila nitabaki na kadi yangu hadi hapo watakapokuja viongozi watakaoleta maendeleo.
kama alivyokwishatuahidi.
Dr.W.Slaa wakati anamnadi diwani wa kirumba Danny kaungu kuwa atahakikisha kata na majimbo yanayoongozwa na chadema yatakuwa mfano wa kuigwa kauli nayoifananisha na ya maisha bora.
_leo nawaaga rasim wakuu wa jukwaa hili la siasa !
__NB jimbo la Nassari na Mnyika tu ndio walau utasema kuna uongozi wa mbunge!