sagoc manyanya
Member
- Feb 16, 2014
- 32
- 0
Sasa kama unachukia siasa unapost mambo ya siasa kwanini unahangaika
Sasa kama unachukia siasa unapost mambo ya siasa kwanini unahangaika
true 100% wote wezi tu!!
mM
ndo maana naamia jukwaa la picha na udaku
Mbinu pekee tuliyobaki nayo sasa hivi ni kurusha Chopa na kusingizia daftari la wapiga kura.Hatuna mbinu mpya! Imefika mahala sioni jipya mbele yangu,mimi na wanangu sasa tumepoteza matumaini juu ya Chama chetu.Ushindi sasa kwetu mwiko!
Inakera sana!

Jamani mimi nauliza tu, hivi zile ahadi za mheshimiwa 'ametelekeza' na 'ametekeleza' ngapi???Zile alizojinadi nazo mwaka 2010??
Laghai ww nyambaf kwanini ulete umbea wako hapa eti mwisho unamalizia kwakusema karibuni ccm kwan huko ccm kuna nn jipya?miaka52 yauhuru bado mnaamini uongozi wakurisishana?matatizo kibao maji,umeme,barabara,afya,elimu,usalama etc yote hayo nikizungumkuti chini yaccm kwamiaka 52.ccm mtajiwenu kisiasa niumbumbu wawatu nakutumia matatizo yao kama kitu chakujipatia kura,hasa pale mnapowapa wajinga namazombi yenu kofia,mashati mtanuko,khanga,pilau a.k.a ubwabwa,etc ila mwakani ongezeni navyupi ili muwaoe Kabisa sabu kuwapa khanga tu bila chupi nidhihaka!mtu mwenye akili timamu huwezi kujiunga ccm labda matahira tu!