mwanamakambako
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 780
- 120
Umerogwa wewe sio bure, hao vijana unaowasema, ni vijana wa familia yako au, we bata tu.
Ndiyo maana ni hiari mtu kujiunga na chama cha siasa.Ukiona huku mambo hayaendi unahamia huku na wamefanya hivyo wengi wakiwemo viongozi wa vyama vya upinzani.Vijana wengi wa kitanzania walio ahidiwa ahadi kemu kemu na chama cha kiraghai cha upinzani (CDM) Wamekata tamaa.
Hii ni baada ya vichapo mfurulizo kukiandama chama hicho. Na chama hicho kutumia gharama kubwa za uchaguzi huku wapiga kura wakila ugali na kachumbali.
Vilevile imeelezwa na vijana wa kuaminika kutoka chama hicho kuwa waliahidiwa madonge manono kiasi cha vijana hao kutumia nguvu nyingi ikiwamo kuhatarisha maisha yao na watu wemgine.
vijana hao wamekuwa kama wamenyeshewa mvua ya mawe kiasi cha kupotea kwenye mitandao ya kijamii hususani JF. Machachari yao na tambo zao zote kuishia kwenye keyboard za kopyuta huku masanduku ya kura yakitoa somo.
Ombi langu kwa vijana hao warudi kundini (CCM) kusema kweli hatuta watupa.
KARIBUNI SANA CCM TUJENGE NCHI ACHANANENI NA SIASA ZA KIRAGHAI.
Kwa picha hii, unategemea nini? Huku bado watu waki kwenye usingizi tororoo!! Ujinga ambao ni mtaji wa Ccm.![]()
Polisi akilinda Kituo cha Kupigia Kura cha Shule ya Chekechea ya Mchwivila katika Jimbo la Kalenga, Iringa jana . Picha na Edwin Mjwahuzi (By Kichuguu wa JF)
Vijana wengi wa kitanzania walio ahidiwa ahadi kemu kemu na chama cha kiraghai cha upinzani (CDM) Wamekata tamaa.
Hii ni baada ya vichapo mfurulizo kukiandama chama hicho. Na chama hicho kutumia gharama kubwa za uchaguzi huku wapiga kura wakila ugali na kachumbali.
Vilevile imeelezwa na vijana wa kuaminika kutoka chama hicho kuwa waliahidiwa madonge manono kiasi cha vijana hao kutumia nguvu nyingi ikiwamo kuhatarisha maisha yao na watu wemgine.
vijana hao wamekuwa kama wamenyeshewa mvua ya mawe kiasi cha kupotea kwenye mitandao ya kijamii hususani JF. Machachari yao na tambo zao zote kuishia kwenye keyboard za kopyuta huku masanduku ya kura yakitoa somo.
Ombi langu kwa vijana hao warudi kundini (CCM) kusema kweli hatuta watupa.
KARIBUNI SANA CCM TUJENGE NCHI ACHANANENI NA SIASA ZA KIRAGHAI.
Ile aliyokuwa anagawa rose kamili slaa?Maskini!!!! Watanzania wanatongozwa kwa rushwa ya chumvi, kanga na vikofia vya kijani na kuangushwa kwenye jamvi la ufukara! CCM wanachekelea na kuendelea kuwashughulikia na kuwatia mimba ya umaskini bila huruma!
Hampendi kuusikia ukweli kwanini? Chadema imeshakufa. Watu wameichoka haraka kutokana vitendo vya kihuni huni, ubaguzi udikteta na vurugu na uharamia wa umwagaji damuLaghai ww nyambaf kwanini ulete umbea wako hapa eti mwisho unamalizia kwakusema karibuni ccm kwan huko ccm kuna nn jipya?miaka52 yauhuru bado mnaamini uongozi wakurisishana?matatizo kibao maji,umeme,barabara,afya,elimu,usalama etc yote hayo nikizungumkuti chini yaccm kwamiaka 52.ccm mtajiwenu kisiasa niumbumbu wawatu nakutumia matatizo yao kama kitu chakujipatia kura,hasa pale mnapowapa wajinga namazombi yenu kofia,mashati mtanuko,khanga,pilau a.k.a ubwabwa,etc ila mwakani ongezeni navyupi ili muwaoe Kabisa sabu kuwapa khanga tu bila chupi nidhihaka!mtu mwenye akili timamu huwezi kujiunga ccm labda matahira tu!
Hizi lugha za machadema kutukana watu ndio zinawaponza. Saccos imeshakufa hiyo ni kugawana mbao tu sasawaulize watu wakike ktk familia yenu..huwa nakunywa nao na kuwashindanisha kunywa.
Ccm itaongoza nchi hii hadi itakapochoka yenyewe, nyie misukule hamna tija kwa taifa zaidi ya matusiUmerogwa wewe sio bure, hao vijana unaowasema, ni vijana wa familia yako au, we bata tu.
Vijana wengi wa kitanzania walio ahidiwa ahadi kemu kemu na chama cha kiraghai cha upinzani (CDM) Wamekata tamaa.
Hii ni baada ya vichapo mfurulizo kukiandama chama hicho. Na chama hicho kutumia gharama kubwa za uchaguzi huku wapiga kura wakila ugali na kachumbali.
Vilevile imeelezwa na vijana wa kuaminika kutoka chama hicho kuwa waliahidiwa madonge manono kiasi cha vijana hao kutumia nguvu nyingi ikiwamo kuhatarisha maisha yao na watu wemgine.
vijana hao wamekuwa kama wamenyeshewa mvua ya mawe kiasi cha kupotea kwenye mitandao ya kijamii hususani JF. Machachari yao na tambo zao zote kuishia kwenye keyboard za kopyuta huku masanduku ya kura yakitoa somo.
Ombi langu kwa vijana hao warudi kundini (CCM) kusema kweli hatuta watupa.
KARIBUNI SANA CCM TUJENGE NCHI ACHANANENI NA SIASA ZA KIRAGHAI.
Yea, ana maanisha chagademaMichango mingine -"eti meku "-hahahahaha
Bado upo kalenga au uliondoka usiku ule ule wa kipigo?Kweli CDM ni kiboko..hamuwezi lala bila yenyewe..hapa tuu chama tawala hakilali, mkiwa wpainzani itakuweje?