Nimekasirika leo jamani

Nimekasirika leo jamani

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,400
Reaction score
1,017
Jf leo nimekasirika mpaka nataka kupasuka ilikuwa hivi,

WANA MEMBER


Kuna demu mmoja tulikuwa tunachati kama wiki moja na nusu hivi na tulishaonana zaidi ya mara tatu before sasa jana tukakubaliana tukutane hapa JIjini ila sijawahi kumtongoza wala kuomba papuchi.

Ila leo kaja toka asubuhi na nauli yake nikamnunulia msosi wa ten elfu na nikamwambia twende nyumba ya wageni tukaenda akagonga msosi kamaliza nikambeba hadi kitandani.

Kilichotokea hataki kunipa papuchi na kagoma mpaka sasa na kwa hasira nimemwambia ondoka gesti nimechukua elfu 20000 na sasa nimeondoka nae nikampa 25 elfu ya nauli baada ya kudai hana.

Napasuka au kuna sehemu nimechemka coz alikuwa hataki hata nimguse nikishika chuch.Anaruka na anadai mimi ndio nimemshika hizo sehemu hata mchumba wake hajawai.

Yaani napasuka kwa hasira bora ningenunua saint na bapa moja sasa hivi ningekuwa na furaha. na kuseka
 
kosa kubwa sana kuchart tu na mtu then ukaassume amekuwa wako!!
japo naye had kukubal kuingia room alishakubali lakn anasubiri umwambie!!!
 
Makubaliano yenu ya mwanzo kabla ya kukutana ilikuwa nini?

ukweli hatukuafikiana chochote ila nilimwambia tunaenda gest before hatujaingia akaa kimya by the way namuliza vp sipendi kushikwashikwa najisikia noma n
 
Yote iyo ngono...mwambie akulipe gharama zako, akigoma mvue hata viatu aende peku.
 
kosa kubwa sana kuchart tu na mtu then ukaassume amekuwa wako!!

japo naye had kukubal kuingia room alishakubali lakn anasubiri umwambie!!!

Haaaaaa maana bora hata ingekuwa kwake sasa guest house jaman alijua wanaenda kufanyaje
 
Huyo Demu Ni Mpumbavu.Amekubali Vipi Aingie Mpaka Gesti Halafu Agome Kugongwa.Kwanini Hasikwmbie Mapema Husiingie Hasara?.Ungemzaba Makofi Na Nauli Husingempa
 
Mbona msosi kagonga? mbona hujauliza mkataba?
Pengine makubaliano yao hayakuwa kuvunja amri ya sita na mshikaji alitaka aitumie nafasi kwakuwa ameshakutana nae tayari, na chakula alichukulia pengine kawaida na si kwa kulipana ujira.

Mfano kwani wewe huwezi kuwa na marafiki zako ukawanunulia chakula unataka kuniambia utawadai sababu walikula chakula chako kwahiyo wakurudishie pesa zako ulizotumia kuwanunulia chakula.

Hapo tatizo makubaliano yao ya awali pengine demu hakutegemea mchezo wa ghafla inawezekana alijua watakutana kwanza kisha wafahamiane zaidi(kama kideti fulani hivi), na hata kama lengo ilikuwa kumpa mambo mshikaji avumilie atapewa tu pengine demu kajistukia siku ya kwanza kukutana na kupeana mambo akaona sio kweli, ila kila siku zitakavyoenda kitaeleweka tu
 
Huyo dem **** sana mi dem akinfanyia ivo nampotezea mazma ata siku nkimkuta anabakwa napita kama simjui maamae
 
Yaani hujawahi kumtongoza wala kuomba papuchi halafu ummege tu kisela???

Umeyataka mwenyewe heri upasuke tu
 
Back
Top Bottom