Kuna demu mmoja nilishamuomba namba na sijawahi kumtongoza hata siku moja. Baada ya kuwasiliana mwanzoni txting na calling baadae akanipotezea (mademu hadi umtxt au umcall yeye). Nikadelete namba yake, nashangaa siku moja unknown calling kwa simu yangu. Nikarespond, sikuweza kumfaham akajitambulisha ila nikafix kuwa simu yangu huwa haioneshi majina kwa namba zinazoanza na 0.... bali +255.... akakubari na kusema no worry. Kanikarbisha kwake (ni single) nimekuta mazaga zaga mengi. Mayai, soda , maji , chips, kitanda dressed well, amedeki chumba. Ila nilienda na rafiki yangu na alionekana kutofurahi. Je alikuwa amejiandaa kwa mgegedo au ndio ukalimu wake? Hadi leo yupo quiet na mimi sijamtongoza..... ushauri jamani!!!!