Nimekapenda sana haka

Nimekapenda sana haka

Tumechoka kuvaa koti la Muungano Lenye Kupe/Chawa, maana Chawa/Kupe kama wameshiba Damu Wakaanza Kuona Wanalazimishwa Kunyonja Damu Basi ni Heri Tulivue Koti ili Tuvae Size Yetu (Tujihudumie Watanganyika). Wanaamini Wakidondoka toka kwenye Koti, Kuna Sultani Wa Omani atawaletea si tu Damu ya Kunyonya bali Pia Watapata na maziwa. Wanatuambia kama isingekuwa Kudandia koti la Tanganyika Wangekuwa Dubai/ the business hub of Africa. Ngoja tulivue koti tuone itakuwaje...
 
Back
Top Bottom