Nimekamatwa kwa kukutwa nachezesha Playstation.

Au na wewe umalawiti mtoto kama yule mwenzako wa Iringa aliyepigwa lifetime sentence
 
Pole mkuu, kama kuna wizi mtaani na hapo kijiweni unajaza vijana, basi tuhuma za kuvutisha mpaka bangi zitakuhusu.
Ila utachomoka labda kama huna mahusiano mazuri na mkiti na wajumbe mtaani.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Inategemea unaanza kuchezesha saa ngapi Mara nyingi ukichezesha kuanzia saa 8 mchana sio mbaya,pia huko uswahilini wazazi wengi wakiona watoto wao wanashiriki huu mchezo basi watajenga huasama na wewe hawajui karne tuliyoopo watoto wao wa kiume hii ndio michezo yao sio tena zama zile za komborela,kula mbakishie baba,kuendesha magari ya udongo na mabati yani wazazi wa Uswazi hawaelewi hilo. Pole sana mkuu wangekuwa wamekuja kukuamata mda wa shule unachezesha hapo ingekuwa soo.mchezo huo sio kesi kwani wewe Hauna tofauti na waonyesha mipira na video show,ongea nao vizuri hao pai kama ni chuki tu za majirani watakuachia
 
Pole sana mkuu! Mm pia nlshawah kukutwa na tukio kama hlo la kukamatwa eti nachezesha ps watoto wadogo under 18 na nikapewa kosa jngne kua eti ps ni mchezo wa kamal hvyo inabd niwe na vbali vya osha, tra, na bodi ya michezo ya kubahatsha pia nkaambiwa nafanya wanafunzi wafeli wakat mda wangu wa kufungua ulikua ni sa kumi jion had sa mbili ila nlkamatwa jmamos mda wa sa tano cz wkend nlikua nafungua sa nne. Nlila lumande cku mbili,wateja wangu pia nlikamatwa nao ila wao walilala cku moja. Nkafunguliwa kesi ya kuchezesha kamali watoto chn ya miaka 18 ingawa haikua ukweli wateja wangu weng walikua boda boda na hata vjana wa makamo watoto hawakua kivile na wala kamali ilikua haichezw, kutokana na kuona usumbufu wa kuhudhuria mahakaman kila wk mbli nilitoa hela kwa mwendsh mshtak kesi ikafutwa na biashara nkaacha ingawa kiukwl cjawah kua na biashara yeny faida kama ile hasa mikoani sema tu ushamba wa watu na roho mbaya ndo zmepelekea nkaacha. Na alie nichomesha kwa mkuu wa wilaya nikamatwe nlikuja kumjua na alikua frame ya jran yangu na kelele za wacheza ps zlikua znamkera. Ila bdo nataka nijpange nianze tena mana yule dc alipandshwaga cheo na mwendazake akawa rc na bdo ni rc ila ni mshamba sana yule bro. Nw yupo dc mtoto wa daslamu nataka nikaongee nae wazo langu la biashara nimckie atasemaje.
 
Nimependa spirit yako

Maisha ubishi

Ova
 
duh...pole sana, kiukweli hii biashara inafaida sana tena kipindi hiki cha likizo ya watoto mambo hua ni bum bum.

Me pia nilishapata huo msala mwaka juzi.Siku hyo niko ofisini midaa ya mchana sina hili wala lile akaja Mama mmoja na boda.Alivyofika ofisini akaniuliza kama mimi ndo muhusika nikamwambia sio mimi.

Acha aanze kupayuka akidai nachezesha kamari mpk watoto wake wanamuibia hela wanazileta kwangu.nilijarbu kumuelewesha lkn wapi akazidi kupayuka.Nilimtukana japokua ckutaka iwe ivyo, basi akaenda zake police.police kufika nikawaelewesha weee kuwa me c chezeshi kamari, wakadai niwape Tin ckua nayo ila nilimalizana nao kibabe pamoja na mwenyekiti.
 
Inategemeana kma wateja wako ni wanafunzi na muda wa shule wanaishia hapo kweny Playstation ndo inakuaga noma
 
Usiruhu watoto wa chini ya miaka 18 wafike hapo kwenye kibanda chako wakati wa shule yaani saa moja asubuhi hadi saa kumi jioni.
 
Habari zenu wakuu muda huu nimefungiwa kwenye kichumba je ni kosa kisheria? Wakininyanyang"nya cm nitakuta majibu kesho maana nataka nikitoka niendelee na biashara ndio biashara inayonipa hela ya kula mimi na watoto wangu.
Wewe ni nani na uko wapi?
 
Inategemea unaanza kuchezesha saa ngapi Mara nyingi ukichezesha kuanzia saa 8 mchana sio mbaya,pia huko uswahilini wazazi wengi wakiona watoto wao wanashiriki huu mchezo basi watajenga huasama na wewe hawajui karne tuliyoopo watoto wao wa kiume hii ndio michezo yao sio tena zama zile za komborela,kula mbakishie baba,kuendesha magari ya udongo na mabati yani wazazi wa Uswazi hawaelewi hilo. Pole sana mkuu wangekuwa wamekuja kukuamata mda wa shule unachezesha hapo ingekuwa soo.mchezo huo sio kesi kwani wewe Hauna tofauti na waonyesha mipira na video show,ongea nao vizuri hao pai kama ni chuki tu za majirani watakuachia
Wameniachia wamerudi kwenye leseni sasa wamesema kesho nikaripoti saa 2 na nusu
 
Pole sana mkuu! Mm pia nlshawah kukutwa na tukio kama hlo la kukamatwa eti nachezesha ps watoto wadogo under 18 na nikapewa kosa jngne kua eti ps ni mchezo wa kamal hvyo inabd niwe na vbali vya osha, tra, na bodi ya michezo ya kubahatsha pia nkaambiwa nafanya wanafunzi wafeli wakat mda wangu wa kufungua ulikua ni sa kumi jion had sa mbili ila nlkamatwa jmamos mda wa sa tano cz wkend nlikua nafungua sa nne. Nlila lumande cku mbili,wateja wangu pia nlikamatwa nao ila wao walilala cku moja. Nkafunguliwa kesi ya kuchezesha kamali watoto chn ya miaka 18 ingawa haikua ukweli wateja wangu weng walikua boda boda na hata vjana wa makamo watoto hawakua kivile na wala kamali ilikua haichezw, kutokana na kuona usumbufu wa kuhudhuria mahakaman kila wk mbli nilitoa hela kwa mwendsh mshtak kesi ikafutwa na biashara nkaacha ingawa kiukwl cjawah kua na biashara yeny faida kama ile hasa mikoani sema tu ushamba wa watu na roho mbaya ndo zmepelekea nkaacha. Na alie nichomesha kwa mkuu wa wilaya nikamatwe nlikuja kumjua na alikua frame ya jran yangu na kelele za wacheza ps zlikua znamkera. Ila bdo nataka nijpange nianze tena mana yule dc alipandshwaga cheo na mwendazake akawa rc na bdo ni rc ila ni mshamba sana yule bro. Nw yupo dc mtoto wa daslamu nataka nikaongee nae wazo langu la biashara nimckie atasemaje.
Sasa hivi wamerudi kwenye leseni na vibali kesho naenda kuwaskiliza
 
Katika hiyo biashara kukamatwa ni kama sehemu yake ya uendeshaji biashara ingawa siyo fair.

Niliwahi kukamatwa saa 7 usiku nilikua wazi mpaka mida hiyo.

Niliwahi kukamatwa asubuhi saa 5.

Niliwahi kukamatwa saa nne asubuhi.

Anyway katika ishu zote walitaka pesa. Mara zote nilizozungushana nao sijawahi toa pesa zaidi ya 20K. Hata hivyo mimi nija ID ya Mjasiriamali so walivyosema kuhusu kodi nikawaonyesha id.

Kwakua umesema umegoma kutoa pesa basi kitakachofuata ni kuzungushwa kwa muda mrefu na siku kesi ikienda mahakamani basi mashtaka hayatokua kuchezesha play station.

Niamini mimi.
 
Wamenipiga kisa sijapiga magoti
20210611_011439.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom