Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 701
Naomba kuuliza...
Wewe origin yako ni Moshi or Arusha?
jivue gamba la mwisho .... tuambie real Id yako
Naomba kuuliza...
Wewe origin yako ni Moshi or Arusha?
CDM bhana kumbe ndo maana Nape alisema mnajitekenya na kucheka wenyewe!! Lakini chama kikikosa wanachama si vibaya kujifariji kwa namna hii!! ungeonekana mzalendo sana kwa kueweka ID yako halisi ili uvutie wengi, si ajabu ukawa ndo ule padri mzinzi!!
me ntachukua hapa tawi la chuoni(SAUT-mwanza)
naomba kuuliza...
Wewe origin yako ni moshi or arusha?
Nimeona Avatar yake ya Kimasai!!Moshi na Arusha ndiko wanaotoka wakombozi wa nchi ?