Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,943
- 54,001
Hujakosea hata ila hupewi zawadinilisahau kujitambulisha saivi naona ndo wakati sahihi, au nimekoseaš
Hujakosea hata ila hupewi zawadinilisahau kujitambulisha saivi naona ndo wakati sahihi, au nimekoseaš
jamni naombeni kidogooHujakosea hata ila hupewi zawadi
Utafikiriwajamni naombeni kidogoo
nimefurahi kusikia hivyoUtafikiriwa
Mashemeji zako wa meru na simanjiro wankunywa uchafu bintiunapenda kuniandama sijui upoješ š
nb mi sinywagi huo uchafu
Nitumie namba ya simu uwe unapata gawioHabari zenu wakuu
Mimi ni mwanachama mgeni nimejiunga siku za karibuni ila nimekuwa msomaji wa jukwaa hili kwa muda mrefu sasa
Wewe pita mpaka chumbani kisha uzime taa,Soda yako utakunywa njiani wakati unaondoka.mi pia ni mgeni naombeni mnipokee
karibuHabari zenu wakuu
Mimi ni mwanachama mgeni nimejiunga siku za karibuni ila nimekuwa msomaji wa jukwaa hili kwa muda mrefu sasa
mi sina mashemeji hukoMashemeji zako wa meru na simanjiro wankunywa uchafu binti
sasa utanionaje huko gizanišWewe pita mpaka chumbani kisha uzime taa,Soda yako utakunywa njiani wakati unaondoka.
Nitakuona wakati unaondoka,hua nasindikiza wageni mpaka nje.sasa utanionaje huko gizaniš
khaaašNitakuona wakati unaondoka,hua nasindikiza wageni mpaka nje.
Sasa hutaki? Au bado unawaza?khaaaš
ndio bado najifikilia hapaSasa hutaki? Au bado unawaza?
Yeah kila la kheri kwake
Habari zenu wakuu
Mimi ni mwanachama mgeni nimejiunga siku za karibuni ila nimekuwa msomaji wa jukwaa hili kwa muda mrefu sasa