Hebu msikilize hapaHakuna mtu mwenye muda wa kuja kusikiliza matusi. Nenda mwenyewe, wanaJF hawawezi kufika hata mmoja.
wapendwa habari zenu!kichwa cha habari hapo juu chahusika, kesho 26/11/2011 saa 12 jion viwanja vya ustawi wa jamii dsm patakua na uzinduzi wa anti virus !! nimejitolea kuwalipia kiingilio wana jf woote watakaopenda kuhudhulia tamasha ilo,unachotakiwa kufanya fika kwenye eneo NImeitwa ntarudi kumalizia wapendwa.
..Braveheart Martini, Please....unatumia kakinywaji gani nikuandalie!?
Hakuna mtu mwenye muda wa kuja kusikiliza matusi. Nenda mwenyewe, wanaJF hawawezi kufika hata mmoja.
Mie niwekee togwa.unatumia kakinywaji gani nikuandalie!?