Nimejikuta natoka machozi

Nimejikuta natoka machozi

Leo ikiwa siku ya mwisho ya mafunzo kwa vitendo yaani field practice, imekuwa siku ngumu sana kwangu, hasa pale nilipokwenda kuwaaga wanafunzi wale wa kidato Cha sita niliokuwa na wafundisha somo la biology, hakika machozi yamewalenga na mimi nimejikuta nalia tu.

Majonzi yaliongezeka nilipo muaga mkuu wa shule na mkuu wa idara ya biology Hala shuleni hakika imekuwa ni huzuni tupu.

Mkuu wa shule kanitamkia neno moja akasema "asante kwa moyo wako wa upendo, asante kwa kujitoa kwa moyo, hakika moyo wako ni wa dhahabu"

Kwaheri Tabora ,
Kwaheri Tabora.
Umelia kwa sababu huko mbeleni ajira hazieleweki,
 
Mungu akubariki katika masomo yako. Akupe haja za moyo wako.
 
Back
Top Bottom