Nimejikuta natoka machozi

Nimejikuta natoka machozi

Mwalimu unalia kabla ya ajira 😂😂 unalia kabla hujakatwa hela na cwt unalia kabla hujachangishwa mchango wa mwenge kwa lazima unalia kabla hujaombwa rushwa na kupangwa kijijini. Unalia kabla hujapangiwa kikokotoo
 
Leo ikiwa siku ya mwisho ya mafunzo kwa vitendo yaani field practice, imekuwa siku ngumu sana kwangu, hasa pale nilipokwenda kuwaaga wanafunzi wale wa kidato Cha sita niliokuwa na wafundisha somo la biology, hakika machozi yamewalenga na mimi nimejikuta nalia tu.

Majonzi yaliongezeka nilipo muaga mkuu wa shule na mkuu wa idara ya biology Hala shuleni hakika imekuwa ni huzuni tupu.

Mkuu wa shule kanitamkia neno moja akasema "asante kwa moyo wako wa upendo, asante kwa kujitoa kwa moyo, hakika moyo wako ni wa dhahabu"

Kwaheri Tabora ,
Kwaheri Tabora.
Hongera sana Mwalimu, na unafundisha Somo la bailogia nililo lipenda saana
I wish ningekuwa na connection nikusaidie utimize haja ya moyo wako.
I trust Unafundisha Biology na Chemistry?
 
Yani eti ni 1st year na kapewa Adv kwa ajili ya field. Hiyo shule labda haina walimu wenye sifa wakufundisha (yani 1st degree).Vinginevyo huyo mkuu wa shule ajitathini. Anaweza asinielewe Ila huo ndo ukweli.
Hujui chochote mkuu, Mimi ni mwaka wa pili, pia content ya advance ni Ile Ile chuo tunafundishwa methodology na related issues kwenye professional.
 
Leo ikiwa siku ya mwisho ya mafunzo kwa vitendo yaani field practice, imekuwa siku ngumu sana kwangu, hasa pale nilipokwenda kuwaaga wanafunzi wale wa kidato Cha sita niliokuwa na wafundisha somo la biology, hakika machozi yamewalenga na mimi nimejikuta nalia tu.

Majonzi yaliongezeka nilipo muaga mkuu wa shule na mkuu wa idara ya biology Hala shuleni hakika imekuwa ni huzuni tupu.

Mkuu wa shule kanitamkia neno moja akasema "asante kwa moyo wako wa upendo, asante kwa kujitoa kwa moyo, hakika moyo wako ni wa dhahabu"

Kwaheri Tabora ,
Kwaheri Tabora.
Wewe ni ke au me?
 
Hujui chochote mkuu, Mimi ni mwaka wa pili, pia content ya advance ni Ile Ile chuo tunafundishwa methodology na related issues kwenye professional.
Mwanzo ulisema wewe ni 1st year (rejea bandiko lako).

Sasa wewe ndo hujui lolote kisa upo chuo kikuu. Nikuambie tu kuwa kwanza wewe hujawa mwalimu, pili huna degree, tatu wewe bado ni mwanafunzi wa daraja la chini sn (2nd year). Kwa utaratibu wa utoaji elimu hutakiwi kupewa hata vidato vya mitihani achilia mbali kufundisha Adv. Km hiyo shule haina walimu wa kutosha ndo maan ukapewa kufundisha. Otherwise so far you are neither a teacher nor a degree holder.

Usiwe unabishia nwazazi wako, wengine ni waajiri wako wa baadae Ukimaliza masomo. Jifunze.
 
Leo ikiwa siku ya mwisho ya mafunzo kwa vitendo yaani field practice, imekuwa siku ngumu sana kwangu, hasa pale nilipokwenda kuwaaga wanafunzi wale wa kidato Cha sita niliokuwa na wafundisha somo la biology, hakika machozi yamewalenga na mimi nimejikuta nalia tu.

Majonzi yaliongezeka nilipo muaga mkuu wa shule na mkuu wa idara ya biology Hala shuleni hakika imekuwa ni huzuni tupu.

Mkuu wa shule kanitamkia neno moja akasema "asante kwa moyo wako wa upendo, asante kwa kujitoa kwa moyo, hakika moyo wako ni wa dhahabu"

Kwaheri Tabora ,
Kwaheri Tabora.
Usirudi nyuma kijana! Mungu akutangulie katika safari yako hiyo ya wito!
 
Back
Top Bottom