Unazungumzia shule gani isije kuwa ulikuwa tabora boys /girlsLeo ikiwa siku ya mwisho ya mafunzo kwa vitendo yaani field practice, imekuwa siku ngumu sana kwangu, hasa pale nilipokwenda kuwaaga wanafunzi wale wa kidato Cha sita niliokuwa na wafundisha somo la biology, hakika machozi yamewalenga na mimi nimejikuta nalia tu.
Majonzi yaliongezeka nilipo muaga mkuu wa shule na mkuu wa idara ya biology Hala shuleni hakika imekuwa ni huzuni tupu.
Mkuu wa shule kanitamkia neno moja akasema "asante kwa moyo wako wa upendo, asante kwa kujitoa kwa moyo, hakika moyo wako ni wa dhahabu"
Kwaheri Tabora ,
Kwaheri Tabora.
Huyu ni mtiifu😀kama hajala wadogo zetu.... na mimi nampa hongera.... walimu wa fildi baadhi mafisi sana
Kunawatu bado wanasoma ualimu. Mpwayungu Village njoo umuone huyuHii ni ya mwisho, yaani nipo mwaka wa pili hivi sasa, November naingia wa tatu
pia hayana kazi nyengineUna machozi ya kuchezea.
Jamani🤣🤣🤣Hivi wewe ndio ulinunuliwa Infinix na wanafunzi au sio wewe?
usiusemee moyo....Huyu ni mtiifu😀
Kweli kuna mwalimu wa field juzi kati hapa aliandika uzi kuwa wanafunzi walimchangia wakamnunulia simuJamani🤣🤣🤣
Eti eèe😅😅usiusemee moyo....
hawatabirikiEti eèe😅😅
We jamaaa nomaNyie ndo mnaofanya serikali ikiona nyuzi kama hizi inahamasisha watu wajitolee

Leo ikiwa siku ya mwisho ya mafunzo kwa vitendo yaani field practice, imekuwa siku ngumu sana kwangu, hasa pale nilipokwenda kuwaaga wanafunzi wale wa kidato Cha sita niliokuwa na wafundisha somo la biology, hakika machozi yamewalenga na mimi nimejikuta nalia tu.
Majonzi yaliongezeka nilipo muaga mkuu wa shule na mkuu wa idara ya biology Hala shuleni hakika imekuwa ni huzuni tupu.
Mkuu wa shule kanitamkia neno moja akasema "asante kwa moyo wako wa upendo, asante kwa kujitoa kwa moyo, hakika moyo wako ni wa dhahabu"
Kwaheri Tabora ,
Kwaheri Tabora.
Basi sawa 😃Kweli kuna mwalimu wa field juzi kati hapa aliandika uzi kuwa wanafunzi walimchangia wakamnunulia simu
Watoto wa kike vp hpo shule, hujamvua chupi ht mmojaLeo ikiwa siku ya mwisho ya mafunzo kwa vitendo yaani field practice, imekuwa siku ngumu sana kwangu, hasa pale nilipokwenda kuwaaga wanafunzi wale wa kidato Cha sita niliokuwa na wafundisha somo la biology, hakika machozi yamewalenga na mimi nimejikuta nalia tu.