Nimejikuta natoka machozi

Nimejikuta natoka machozi

ishawahi tukuta tukiwa shule kuna mwalimu wa field watu tulichangishana party akafanyiwa.

Kuna walimu ni zaidi ya walimu anakufundisha hadi unajihisi na wewe n mwana baiolojia.

halafu anachokufundsha unamuelewa mpk siku ya mtihani unaona maswali yamekosewa kwa namna yametungwa kirahisi rahisi.

Hongera mwalimu,sio wewe tu hutokea walimu wengi sana wenye moyo kama wako.
 
Hongera mkuu. Mwenye hekima huvuta roho za watu, lakini watu waovu (wenye kuleta uchungu kwa watu) wakifa watu hushangilia. Endelea vivyo hivyo na kila ufanyalo utafanikiwa.
 
Back
Top Bottom