Nimejikuta namkumbuka Amina Chifupa (r.i.p)

Amrehemu muumba yeye, wengine waliotangulia na sisi tulio juu ya matumbo ya dunia!!!
 
sijui nini. ila mpakanjia alitwangwa na ngoma. hata pale kwa macheni baa hamna tena. kuna mmbunge mmoja naye inasemekana alimgonga amina wakiwa bungeni, anajijua kuwa alikwaa miwaya, hajaoa hadi leo na ni msaliti kama yuda iskarioti.
 
weka uthibitisho, la sivyo achana na habari za vijiwe
 
Amekuwa maarufu sana baada ya kufa, kama kawaida, ukifa lazima u-hit!! Wee ukitaka ku-hit, kufa, utareta mrejesho!! Hakuwa na jipya na wala uzuri hakuwa nao. Angekuwapo asingekuwa na tofauti na kina Dida.
 
sijui nini. ila mpakanjia alitwangwa na ngoma. hata pale kwa macheni baa hamna tena. kuna mmbunge mmoja naye inasemekana alimgonga amina wakiwa bungeni, anajijua kuwa alikwaa miwaya, hajaoa hadi leo na ni msaliti kama yuda iskarioti.
Mtu anakunyima tonge lakini neno hakunyimi ni ya kweli kabisa hayo na tumrememu na kila mtu na kosa lake
 
Back
Top Bottom