Nimejikuta namkumbuka Amina Chifupa (r.i.p)

Nimejikuta namkumbuka Amina Chifupa (r.i.p)

Semeni tu ukweli kwamba yeye na mumewe walikufa na ngoma.. Yaani mpaka karne hii bado mnaficha ficha kuongelea HIV kwa uwazi?
 
Heee unamaanishaje si alikuwa ameolewa...au unamaanisha alikuwa hajatumikia taifa

hata kama aliolewa lakn alikuwa bado kutumika...
Kwan kuolewa ndio mwisho wa kutumika?
Mtu kama bi kidude huyo ndio tayar alishatumika
 
Semeni tu ukweli kwamba yeye na mumewe walikufa na ngoma.. Yaani mpaka karne hii bado mnaficha ficha kuongelea HIV kwa uwazi?

2007 June ndio aliondoka mpendwa wetu A.C!! Alitutoka akiwa mbichi,26 yrs old.
 
TUJIKUMBUSHE WADAU: 06 May 2007.
Jana gazeti la Majira limeripoti kwamba Bwana
Mohammed Mpakanjia, mkazi wa Dar es Salaam,
amemuandikia Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano, Mh. Samuel Sitta, kumuarifu kwamba
amemtaliki mkewe, Mhe. Amina Mpakanjia,
kwasababu ya kufanya mapenzi nje ya ndoa
(ugoni) na Mhe. Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma
Kaskazini. Katika barua hiyo, ambayo imenakiliwa
kwa Katibu Mkuu wa CCM, Bwana Mpakanjia
amemuomba Spika Sitta amuonye Mhe. Kabwe
kwa kitendo chake hicho.
Gazeti la leo la Tanzania Daima linaripoti kwamba
Mhe. Amina Chifupa atafanya mkutano na
waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Habari
Maelezo kufafanua hili jambo ingawa
amethibitisha kwamba ni kweli mumewe
amemtaliki toka tarehe 3 Mei mwaka huu. Hata
hivyo, Mhe. Chifupa na Mhe. Kabwe wote wanadai
hizi ni njama za wana-CCM. Mhe. Kabwe anadai
yeye ana uhusiano mzuri wa "kikazi" na Amina
Chifupa na kwamba anamheshimu kama "mtu
makini". These are his quotes.
Sasa, Sitta atachukua hatua gani? Je, atalipeleka
kwenye Kamati ya Maadili kama ambavyo
alipekela malalamiko ya Bwana Mengi? Makamba
atachukua hatua gani? Je, the Zitto myth ndio
inaanza kuporomoka? Je, kama ukila uroda mke
wa mtu na ukakamatwa una haki ya kusingizia ni
njama za maadui wako wa kisiasa? Je, maadui
zako wa kisiasa wakiona udhaifu wako ni kupenda
uroda (hasa kwa wake za watu), je wanaruhusiwa
kuu-expose? Some of these are hypothetical
questions.
~~~~~~~~~~~~
www.jamiiforums.com/celebrities-forum/2787-kashfa-nzito-zitto-vs-amina-chifupa.html
 
Phillemon Mikael 09:12 21st June 2007
mbunge amina chifupa ambaye hajaonekana
hadharani kwa muda sasa ,amelazwa katika
hosipitali kuu ya jeshi LUGALO,..haijafahamika
anasumbuliwa na maradhi gani...Mwenyezi
mungu amjalie pona ya haraka!!!!!
 
By :Tanzania Daima:21 June 2007
na Mwandishi Wetu
MBUNGE machachari wa Viti Maalumu (CCM),
Amina Chifupa, amelazwa katika hospitali moja
inayomilikiwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania
(JWTZ) jijini Dar es Salaam, imefahamika.
Habari za uhakika kutoka ndani ya hospitali hiyo
zinasema, Chifupa alipokewa hospitalini hapo juzi
usiku kwa ajili ya matibabu ya maradhi
yanayomsumbua.
Vyanzo vya habari kutoka hospitalini hapo
viliieleza Tanzania Daima jana kwamba Chifupa
alikuwa amelazwa katika wodi ya watu maarufu
(VIP) alikofanyiwa vipimo kadhaa na muda mfupi
baadaye akaanzishiwa matibabu.
Habari zaidi kutoka hospitalini hapo zinaeleza
kuwa wodi aliyolazwa mbunge huyo iko katika
uangalizi wa karibu, kuliko ilivyo kawaida na watu
wasiohusika hawaruhusiwi kufika katika eneo hilo.
Kutokana na hali hiyo, hata baada ya gazeti hili
kupata taarifa za ndani kuhusu maradhi
yanayomsumbua mwanasiasa huyo, limeamua
kutotaja ugonjwa unaomsumbua kwa sasa.
Habari zaidi zinadai kwamba licha ya mbunge
huyo kulazwa katika hospitali hiyo, jina lake
halijaandikwa kwenye kitabu cha orodha ya
wagonjwa na badala yake limeandikwa jina la ofisa
mmoja wa jeshi.
“Chifupa kafikishwa hapa jana, na anasumbuliwa
na … ila anatibiwa kwa siri kubwa na chini ya
uangalizi mkali ambao unazuia hata sisi
wafanyakazi wa hapa hospitali kutoikaribia wodi
hiyo, labda uwe na shughuli maalumu,” kilisema
chanzo chetu.
Hivi karibuni Spika wa Bunge, Samuel Sitta,
alilitangazia Bunge kwamba Chifupa ni mgonjwa,
ndiyo maana ameshindwa kuhudhuria Kikao cha
Bunge la Bajeti kilichoanza mapema wiki iliyopita.
Chifupa, mbunge kijana, amepotea katika macho
ya jamii kinyume cha ilivyo hulka yake, tangu
habari za kutalikiwa na aliyekuwa mumewe,
Mohamed Mpakanjia, Mei mwaka huu ziandikwe
katika vyombo vya habari.
Tanzania Daima ndilo lilikuwa gazeti la mwisho
kufanya mahojiano na mbunge huyo wakati
masuala yake hayo ya ndoa yaliporipotiwa.
 
26 June 2007 Amina Alitutoka.
attachment.php
 
sijui nini. ila mpakanjia alitwangwa na ngoma. hata pale kwa macheni baa hamna tena. kuna mmbunge mmoja naye inasemekana alimgonga amina wakiwa bungeni, anajijua kuwa alikwaa miwaya, hajaoa hadi leo na ni msaliti kama yuda iskarioti.

Unaongea kama vile wewe ulikuwa unamshikia miguu wakati yeye akigongwa. Ni mbaya sana mwanamme kuwa mmbea
 
Back
Top Bottom