Amekuwa maarufu sana baada ya kufa, kama kawaida, ukifa lazima u-hit!! Wee ukitaka ku-hit, kufa, utareta mrejesho!! Hakuwa na jipya na wala uzuri hakuwa nao. Angekuwapo asingekuwa na tofauti na kina Dida.
Aileza panoppstahili...
Hivi kifo chake kilisababishwa na nini vile?
dedication, Gk Ft Tid Tutakukumbuka daima milele
uyo msaliti atakuwa ni nani? sio yule mbunge wa mahakama?sijui nini. ila mpakanjia alitwangwa na ngoma. hata pale kwa macheni baa hamna tena. kuna mmbunge mmoja naye inasemekana alimgonga amina wakiwa bungeni, anajijua kuwa alikwaa miwaya, hajaoa hadi leo na ni msaliti kama yuda iskarioti.
mkuu wa kaya alimwacha kweli huyu, asije kuwa kama zzkHuku site tunajua alikua kwa ngoma,labda kwa wengine sijui wanajuaje.
Alikufa akiwa na umri gani vile?
Nampenda mpaka kesho
Wewe ni mbaya?Huyu mdada alikuwa mzuri jamani.
sijui nini. ila mpakanjia alitwangwa na ngoma. hata pale kwa macheni baa hamna tena. kuna mmbunge mmoja naye inasemekana alimgonga amina wakiwa bungeni, anajijua kuwa alikwaa miwaya, hajaoa hadi leo na ni msaliti kama yuda iskarioti.