Nimejikomboa namimi.

Nimejikomboa namimi.

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
Nami nimejikomboa.sasa jf nitakuwa online 24 hrs kama vp ni add whatsapp. Namba yangu ile ile. Wale wa f'b ongezeni spidi ku LiKe page yangu kazi ndo imeanza.
 
Attachments

  • Nokia.jpg
    Nokia.jpg
    11.7 KB · Views: 639
DaAah nimecheka hdi timbo linauma ucfanye hvyo!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mi ntakuad usihofu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
mdeki tena nyie wenye BlackBerry mkitaka kunipigia wekeni ile video calling tuonane fesi kwa fesi.
 
Last edited by a moderator:
DaAah nimecheka hdi timbo linauma ucfanye hvyo!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

usicheke aisee inatakiwa unihurumie hizi simu za bei mbaya kama yangu huwa haziingii vocha za buku buku mpaka uweke buku kumi yaani hapa japo nimejikomboa ila matumizi yameongezeka.
 
Jamani mambo mengine muwe mnalia sio kucheka tu,yaani hapa nimekuwa kama nimeongeza nyumba ndogo.
 
Nami nimejikomboa.sasa jf nitakuwa online 24 hrs kama vp ni add whatsapp. Namba yangu ile ile. Wale wa f'b ongezeni spidi ku LiKe page yangu kazi ndo imeanza.

heheheeeeee!!!!!
 
Mambo ki-Digital toka Analogia teh teeh teeeh!
 
analogy bab kubwa.....nadhani ulipata bonus ya hiyo key pad yake kuumuka kama imetiwa hamira....all the same...hongera kwa kujikomboa kivyako!!!!!
 
Hongera kakangu mpenzi. Sasa udownload na viber hapo tutwangiane bureee! Ila wifi alikuwa mvumilivu, ile.kimeo ya mwanzo ilikuwa kimeleo!
 
Hongera kakangu mpenzi. Sasa udownload na viber hapo tutwangiane bureee! Ila wifi alikuwa mvumilivu, ile.kimeo ya mwanzo ilikuwa kimeleo!

nitafanya hivyo dadaa, wifiyo Evelyn Salt ubishi wake tu mie nilimwambia nimnunulie nokia asha yeye anataka siemens c25. Vp lakini mmemaliza kuchambua mchele?
 
Last edited by a moderator:
analogy bab kubwa.....nadhani ulipata bonus ya hiyo key pad yake kuumuka kama imetiwa hamira....all the same...hongera kwa kujikomboa kivyako!!!!!
mtanga analogi tumehama asante pia kwa kunipongeza.
 
Last edited by a moderator:
mimi natumia doublebrand, mbele imeandikwa blackberry nyuma nokia ina line nne, port za memory card mbili, ina tv(chenga tupu)fm torch bluetooth camera 18mega pixels antenna, betry mbili video internal memory16gb ...vingine nimesahau
 
umesahau pia inakibiriti cha gesi ya ntwara.
 
Hahaaa! We noma Arifu, imebidi niidownload iwe Wallpaper yangu.. Kitu TACHI....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom