Kiranja wa Kijiweni
JF-Expert Member
- Mar 9, 2023
- 559
- 1,005
Kabisa, na Mimi mwezi uliopita nilipatwa na changamoto ya Wife kujifungua kwa Operation.Pole kwa uliyopitia. Watu wengi tunapenda kujifunza kwa njia ngumu kwa sababu ya kupenda kupuuzia mambo. Kuwa na akiba ni muhimu sana sana sana. Nimejifunza pia kwa sasa sikosi akiba kuna mambo yanatokea kama ajali na hayana kusubiri kwa mfano magonjwa, ajali n.k
😃😃 sawa mkuu, ila mbona kama unasound kama polisi.Uko sahihi pia.
Na sio akiba ya pesa tu, tuwe na akiba ya watu.Tz hii watu/connection inakugurantee usalama na Bima kwa kiasi kikubwa, vingine unajiongeza sasa na wewe, MKONO MTUPU HAULAMBWI
Hahaha, hamna ndugu:Koo zetu zoye, upande wa Baba na Mama tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu hatujawahi kuwa na polisi, afande magereza, mgambo etc..Mjeshi mmoja tu, naye alivunjwa mguu wa kati wa vita vya Kagera, amekufa 2000's hoi taabani Sisi hiko hatupo kabisa😃😃 sawa mkuu, ila mbona kama unasound kama polisi.
😃 Sawa mkuuHahaha, hamna ndugu:Koo zetu zoye, upande wa Baba na Mama tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu hatujawahi kuwa na polisi, afande magereza, mgambo etc..Mjeshi mmoja tu, naye alivunjwa mguu wa kati wa vita vya Kagera, amekufa 2000's hoi taabani Sisi hiko hatupo kabisa
Inapemdeza akigonga kama kuna watu akimbie kama hamna watu bora amsaidie aliemgongaBinadamu wengi hawana huruma, kukimbia ni kujiokoa na matatizo, Hata sheria kuna muda zinashauri kujisalimisha polisi.
Pole sana ila ndo uwe makiniKuna vitu vingi sijaandika, ila kwa hali ilivyokuwa pale hata ubabe ulinisaidia kidogo.