nimejifunza kitu, naomba usome hii.

nimejifunza kitu, naomba usome hii.

Siyo kweli bana huyo alikuwa tayari ana hard feelings na wewe. Bahati mbaya mumewe akaistukia mapema mienendo yake.
Sasa kipondo kimemsaidia ku accelerate hizo feelings. Be care Mkuu, mke wa mtu hatari!

Hata yeye mume wa mtu. Yaani hapo ni (hatari)2
 
kumbe umeoa.....lile bandiko kule ni la nini tena? hujatumalizia story alivyokwambia hivyo we umemjibu nini maana hapo ndo napasubiria kweli kweli
teh...tehe..... mbavu zangu mie! umemtokea fasta
 
moja ya sababu kubwa ya mpenzi kugawa ladha nje ni kumtuhumu isivyokweli, hvyo atagawa ili kudhbtisha doubts zako. BTW maisha ni kama mchezo wa karata, ukitoa jembe utapewa jembe
 
Hanijui na hajui naishi wapi? Hata akinijua sioni kama ni issue kwani mimi sina mahusiano na huyo mama. Alafu hapa kumbuka mimi na yeye ni watu wazima sasa; sio umri wa kitoto huu.

acha kuchati na mke wa mtu mkuu,,,,,,,,,,
 
Mara ya mwisho nilionana na mdada flani miaka ya 1995 tukiwa mjini Bukoba. Nimekuja kuonana naye jijini Mwanza akiwa tayari kaishaolewa, nami nimeoa tayari. Tulikumbukana kwa kuwa nilikuwa na haraka akanambia nimpe namba ya sm ili tuongee zaidi.
Tumekuwa tukiwasiliana mara kwa mara kwa sms na kwa kuongea. J.mosi mme wake akampa kipondo kwa kumlaum eti ana mahusiano ya kimapenzi nami. Jana asubuhi huyo mdada kanipigia sm akidai ana maongezi na mimi; nilimshangaa kumuona akiwa kavimba uso.

Kauli ilonishangaza ni hii

"Kwa kuwa kanituhumu kwa jambo ambalo halipo, nakuomba tutimize ili lawama zake ziwe za kweli"

Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana, hupaswi kumtuhumu mpenzi / mke / mme wako kwa jambo usilokuwa na uhakika nalo kwani kufanya hivyo ni kama kumwanzishia mawazo mabaya.

Kwa Sababu huyo jamaa anaonekana ni mtu Ngumi Mkononi, jiandae kwa Maumivu hata kubakwa (Mungu epushia Mbali)
 
Amri zote kumi zilifanyiwa summary na Bwana Yesu, Amri ya kwanza na ya mwisho ni upendo, ukiwa na upendo huwez kuvunja hata hamri moja kwenye hizo kumi. Nami nalalia kwenye hiyo ya UPENDO

Uliwasilianaje na mwanamke mwingine pembeni bila uwepo au ruksa ya mkeo kama kweli umesimamia upendo?
 
Back
Top Bottom