nimejifunza kitu, naomba usome hii.

nimejifunza kitu, naomba usome hii.

unachati nini na mke wa mtu?

huyo mwanaume mpole sana , angekuwa ni hawa mahaslaa wa town saiz ungekuwa unalia wala thread usingefungua humu,,,,,,,,,,
 
Ewe mwanaume ongea na mkeo vizuri mtumie msg nzuri sio unakaa kumwandikia '' nikirudi nyumbani nisikukute we nyau'' hapo akipata anaempetipeti utamlilia nani?
 
hunalolote unajifagilia tuu, huwezi pata demu kirahisi namna hiyo

Kwani we unaishi nchi gani?mbona hiyo ipo sana!Leo tu mke wa mtu kaniomba nimtie mimba kwani amejaribu kwa mumewe lakini imeshindikana ingawa sikuwa namjua kabisa kabla,kwa hiyo kesho tunapima afya ie syphilis,gono,Hiv,na Hbv

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Siyo kweli bana huyo alikuwa tayari ana hard feelings na wewe. Bahati mbaya mumewe akaistukia mapema mienendo yake.
Sasa kipondo kimemsaidia ku accelerate hizo feelings. Be care Mkuu, mke wa mtu hatari!

Lakini katika ukuaji tunakua tukiwa tumechanganyikana; sometimes wivu wa hivyo sio.
 
unachati nini na mke wa mtu?

huyo mwanaume mpole sana , angekuwa ni hawa mahaslaa wa town saiz ungekuwa unalia wala thread usingefungua humu,,,,,,,,,,

Hanijui na hajui naishi wapi? Hata akinijua sioni kama ni issue kwani mimi sina mahusiano na huyo mama. Alafu hapa kumbuka mimi na yeye ni watu wazima sasa; sio umri wa kitoto huu.
 
Kwani we unaishi nchi gani?mbona hiyo ipo sana!Leo tu mke wa mtu kaniomba nimtie mimba kwani amejaribu kwa mumewe lakini imeshindikana ingawa sikuwa namjua kabisa kabla,kwa hiyo kesho tunapima afya ie syphilis,gono,Hiv,na Hbv

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Inaonekana jamaa haeleweki - eleweki ndo maana hakutani na vitu vya hivyo. Ona na hii; mwanamke anayepata watoto wa jinsia moja akiona mke wako amechanganya watoto anajenga mazingira ya kuwa rafiki yako - NA HII HAJAONA HUYU JAMAA ETI?
 
Ewe mwanaume ongea na mkeo vizuri mtumie msg nzuri sio unakaa kumwandikia '' nikirudi nyumbani nisikukute we nyau'' hapo akipata anaempetipeti utamlilia nani?

Umeona mdogo wangu? mambo mengine wanaume huwa tunayasababisha wenyewe!
 
hahaha umenikumbusha jamaa yangu alikuwa analaumiwa na wife kuwa anapiga house girl jamaa akaona isiwetabu akafanya kweli na kwa maneno ya wife yalimpunguzia kazi yakumpata hg. si vyema kumlaumu mtu kitu usichokuwa na uhakika.

waeleze kiongozi;
 
Au mlikuwa mnachat sana kuliko anavyochat na mumewe then mume wake akajifil vibaya, na kiukweli si vizuri mke wa mtu kuwa busy eti unachat na mwanaume mwingine huku una mumeo anythn can hapen there in between

Tulikuwa tunachat wakati hayupo; na akazoea kunitumia sms ya kustopisha charting - "USITUME TENA SMS, MR KAJA"
Hiyo ndo iloonekana na kuleta mtafaluku, jana kani-sms ya namba mpya ile haitumii tena.
 
Tuhuma ni za kweli hizi mkuu sema unajitetea tu,ushamla huyu mdada

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Soma vizuri post yangu mkuu; miaka ya 1995 alikuwa binti, nami nilikuwa kijana; kumla na kutomla kunamhusu nini mme wake? Kama vipi mi ndo nilotangulia ila kwa sababu ya utafutaji wa maisha tukapotezana. Piga hesabu ni miaka mingapi imepita?
 
Umemponza Sasa beba lawama na Mtetee haki yake na mlipie gharama za matibabu. right now
 
Mara ya mwisho nilionana na mdada flani miaka ya 1995 tukiwa mjini Bukoba. Nimekuja kuonana naye jijini Mwanza akiwa tayari kaishaolewa, nami nimeoa tayari. Tulikumbukana kwa kuwa nilikuwa na haraka akanambia nimpe namba ya sm ili tuongee zaidi.
Tumekuwa tukiwasiliana mara kwa mara kwa sms na kwa kuongea. J.mosi mme wake akampa kipondo kwa kumlaum eti ana mahusiano ya kimapenzi nami. Jana asubuhi huyo mdada kanipigia sm akidai ana maongezi na mimi; nilimshangaa kumuona akiwa kavimba uso.

Kauli ilonishangaza ni hii

"Kwa kuwa kanituhumu kwa jambo ambalo halipo, nakuomba tutimize ili lawama zake ziwe za kweli"

Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana, hupaswi kumtuhumu mpenzi / mke / mme wako kwa jambo usilokuwa na uhakika nalo kwani kufanya hivyo ni kama kumwanzishia mawazo mabaya.

Kwanza kabisa unataka kukutana na MKE wa MTU ili muongee ZAIDI, kipi utaongea ZAIDI na MKE wa MTU ? inaonekana ulianza kumtumia sms za mapenzi, na mumewe akagundua hilo.ndio maana akaambulia kipigo. sasa wewe ukiendelea kula uroda ujuwe utaliwa KABANG YAKO na mumewe. ACHANA NA MKE WA MTU.
 
mimi nashauri ukioa jitahidi kupata presentable halafu namba za simu sa wadada na matingatinga ya watu zikatae TUSIPOTEZEANE MUDAAAAA!!!!
 
Mara ya mwisho nilionana na mdada flani miaka ya 1995 tukiwa mjini Bukoba. Nimekuja kuonana naye jijini Mwanza akiwa tayari kaishaolewa, nami nimeoa tayari. Tulikumbukana kwa kuwa nilikuwa na haraka akanambia nimpe namba ya sm ili tuongee zaidi.
Tumekuwa tukiwasiliana mara kwa mara kwa sms na kwa kuongea. J.mosi mme wake akampa kipondo kwa kumlaum eti ana mahusiano ya kimapenzi nami. Jana asubuhi huyo mdada kanipigia sm akidai ana maongezi na mimi; nilimshangaa kumuona akiwa kavimba uso.

Kauli ilonishangaza ni hii

"Kwa kuwa kanituhumu kwa jambo ambalo halipo, nakuomba tutimize ili lawama zake ziwe za kweli"

Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana, hupaswi kumtuhumu mpenzi / mke / mme wako kwa jambo usilokuwa na uhakika nalo kwani kufanya hivyo ni kama kumwanzishia mawazo mabaya.
Taja unalalia kwenye amri ipi kati ya zile kumi
 
Back
Top Bottom