ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
kumbe umeoa.....lile bandiko kule ni la nini tena? hujatumalizia story alivyokwambia hivyo we umemjibu nini maana hapo ndo napasubiria kweli kweli
naona nisiongee ila hii picha itafaa kuonesha nawe anabondwa na mkewe na anakuwa hivi bado zamu yake
View attachment 115638
Kwanza kabisa unataka kukutana na MKE wa MTU ili muongee ZAIDI, kipi utaongea ZAIDI na MKE wa MTU ? inaonekana ulianza kumtumia sms za mapenzi, na mumewe akagundua hilo.ndio maana akaambulia kipigo. sasa wewe ukiendelea kula uroda ujuwe utaliwa KABANG YAKO na mumewe. ACHANA NA MKE WA MTU.
mimi nashauri ukioa jitahidi kupata presentable halafu namba za simu sa wadada na matingatinga ya watu zikatae TUSIPOTEZEANE MUDAAAAA!!!!
Taja unalalia kwenye amri ipi kati ya zile kumi
Au mlikuwa mnachat sana kuliko anavyochat na mumewe then mume wake akajifil vibaya, na kiukweli si vizuri mke wa mtu kuwa busy eti unachat na mwanaume mwingine huku una mumeo anythn can hapen there in between
kweli sio nzuri ila akina dada wanapenda hiyo ukiuliza eti family friend
Asnam, uchokozi huo sasa, unajuaje kama na huyo mumewe nae ni member humu?
hunalolote unajifagilia tuu, huwezi pata demu kirahisi namna hiyo
unataka au unaomba?
duh! picha inatisha hiyo m2 wangu.