Nimejiandaa vizuri ila bado nime bugi

sio mbaya we omba match ya marudiano
[emoji670][emoji669][emoji669][emoji669][emoji669][emoji669]
 
Lazima ujinadi ili uipate kirahisi
tatzo la kujinadi ni kwambA unaongeA vitu vingI sanA mpakA mdadA anapagawA na akili inamjengA kuwa anainjoi vya kutoshA so anakupA mzigo na unaanza kufikiria jinsi ulivyokuwa unajisifia na mawazo kibao kichwani mwisho unakuwA kamA man U yA janA.
 
Lazima ujijue mwili wako... Mara nyingi wanaume wengi lile la kwanza huwa la fungua dimba dakika moja linashuka. Ukianza round ya pili ukakuta tena dakika moja au mbili ujue unamatatizo tena makubwa sana.

Mi round ya pili lazima aimbe manyimbo ya dimondi mpoto na ya utotoni na hapo hakuna cha pweza wala nn.
 
hzI match zA kwenye BED zinahtajI ujiandae kiakilI zaidI bt kinyume nA hapO nI mwendO wA kudraW
 
Ungekula dona.Lakini si ulimpa hela nyingi?Hela itamfanya akupe jaribio jingine.
 
Siku moja unalia? Wenzio wengine hizo sekunde 20 ndio siku kakipiga cha kujisifia, watu hawaendi hata sekunde 10 kila siku. Mkamia maji hayanywi, take it easy, change position, use your coach for a change. Who told you it always has to be in bed? Choose to make Love have fun while you are at it.
 
kumbe ni tatizo la kawaamida ukikamia atleast nimefarijika
kukamia huzalisha kitu kinaitwa, "kutaka kukomesha mpaka aombe poo". hili nalo la hupelekea kuingiwa na wazo "hivi nikishindwa(underconfidence)". kwaiyo huu mchanganyiko wa mawazo huleta kitu kinaitwa kuishiwa ujasiri na panic. aloo ukiunganisha kutaka kukamia+hofu ya vipi nikishindwa+panic====>>POOR PERFOMANCE.
Hii huweza kumkuta mwanaume yeyote bila kujali ni wa Tarime ama wa Dar!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…