Nimejiandaa vizuri ila bado nime bugi

Bao mbili sec 20 hahahaha unatakiwa kuombewa na Tb Joshua
 
Haha..halafu ukute ulijisifu kwa mtoto ile mbaya. Sometimes wanaume tuachane kunadi sex ability yetu kabla ya mchezo
Lazima ujinadi ili uipate kirahisi
 
huyo binti bado mtoto hajakomaa ndo kanuna badala akupe moyo akuulize baby kulikonni unaumwa au,,aseme usijali baby.....
 
huku relax ulipania
 
kumbe ni tatizo la kawaamida ukikamia atleast nimefarijika
 
Dah kijana ulidhan mwenzako atakuja na mabomu, Ak 47 kumbe demu kaja na mawe tu, ona sa fedhea.
 
Ulipania ki mbwaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…