Nimejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu

Hongera huo ndio uanaume, picha tafadhali!!!!. Nimepata kawivu ka maendeleo. Nilikuwa na pesa kama hiyo ila imepukutika kwa kujihudumia nilipokuwa naumwa, nimeudhika sana, kuanza moja kuitafuta tena ni neema za kiMungu sasa!. Hongera sana kwa mara nyingine.
Usijali mkuu afya njema ni utajili mkubwa wa kwanza kuliko nyumba nzuri,utaanza tena na nguvu mpya
 
Eti mkuu bati za rangi moja moja huwa zinauzwa au mpaka bando?
Clinker belite,

Hongera sana mkuu watu wa aina yako ndio wakuigwa, nimependezwa sana na hesabu zako binafsi Mimi ni mdau wa ujenzi upande wa bati nikupongeze Sana ila ungeniona mapema hapo kwenye bati ningekupatia bati gauge 30 yenye upana mzuri kwa Bei nzuri kabisa.

Hata Mimi mwenyenyewe nakaribia kupaua nitaweka mageti na grills na kuhamia hivohivo.

Kwa yeyote aliye serious na anayehitaji bati aje kwenye group hili tuzungumze biashara apate mzigo nzuri kabisa wa bati za AluZinc zisizopata kitu daima, bonyeza link Pros building materials.

Kwa Bati Nzuri nipigie 0658339930

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Clinker belite,

Hongera sana. Mi nimeangalia idadi ya matofali ikanitosha kuelewa unazungumzia nyumba ya aina gani.

Nimekubali nyumba ni relative term. Kila mtu ana tafsiri yake.
Mkuu hakuna raha kama kufungua geti lako, mlango wako, kulala kwako, haijalishi hata kama ni pangoni...the feeling aah priceless..
Umeachana na kodi..

Everyday is Saturday....................😎
 
Wakuu, poleni na janga hili la corona. I hope mnachukua tahadhari zote ili kubaki salama. Basi leo nimeona vema nishee namna nilovokamilisha ujenzi wa kijibanda changu. Najua kuna mtu ntakua nmemsaidia na kumtia moyo kwamba kwa kidogo alichonacho, inawezekana kuepukana na adha za ma faza house.

Nyumba nimejenga ni ndogo ila inanitosha. Ni vyumba viwili vya kulala, sebule, choo na korido fulani ambapo ndo kuna jiko kupikia. Kiwanja nilinunua 25 kwa 25 nilinunua mwaka juzi 2018 kwa sh milion4.5 locationi ni madale mwisho. So nkaona kujenga nyumba kubwa itanichukua muda mrefu kulinganisha na kipato changu, so nkajenga nyumba hii ndogo pemben kabisa ya uwanza, na kuacha nafasi kubwa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba kubwa hapo baadae. Nyumba hii imeanza kuchimbwa msingi tar 22 feb 2020 na baada ya siku 29 me nkahamia.

Baada ya kuezeka milangoni na madirisha nmewekaMa drill. Na nyavu za kukinga mbu. Bado cjaweka plasta. Na chini ni rough floor. Sijaweka ceiling board , namaanisha dari. Hii nmeweka chooni tuu. Milango ya mbao ni miwili wa chooni na wa sebuleni. Umeme pia bado ila nmeshalipia nawasubiri jamaa wakuje kuwasha.

So nyumba hii cjacomplicate saana. Nmejenga simple tuu. Maana kuna bandiko niliona humu jf jamaa alisema ujenzi ni ww na maamuzi yako unatakaje. Unaweza jenga kwa m10 ramani ile ile ambayo mwingne kajenga kwa m20.

Gharama za ujenzi.
Vifaa vya ujenzi vyote vilinunuliwa siku moja. Tar 22 feb 2020. Lengo la kununua kwa siku moja ni kupunguza gharama za usafiri kununua kimoja kimoja. Nilinunua na nikaweka hapa kwa jirani yangu.

Vifaa vyote vilinunuliwa maduka ya madale mwisho. Actually kabla sijanunua nilienda maduka ya town tegeta kule, nkaulizia bei baada ya kupiga tathmin nkagundua cjakwepa kitu. Nei ni zile zile tuu. So nkaona bora ninunue madale ntasave kidogo kweenye usafiri. So gharama ni kama ifuatavyo.

Bati geji 32 @ 18,500 = 740,000
Cement 37 @13,500 = 499,500
Mbao papi 18 @ 10,000 = 180,000
Mbao kenchi 40 @ 5,800 = 232,000
Mbao zege 15 @ 75,000 = 112,5000
Misumari nchi 4 kg 10 @ 3,000 = 30,000
Misumari bati kg 9 @ 6,000 = 54,000
Misumari nchi 3 kg 2 @ 3,000 = 6,000
Koa 2 @ 3,500= 7,000
Nondo 10 @ 18,000 = 180,000
Sink la choo 1 @ 18,000
Bomba 2 nchi 4 @ 13,000 = 26,000
Bomba nusu nchi 1.5 @ 7,500 = 3,500
Pitrap 1 @ 2,500
Elbow 2 @ 3,500 = 7,000
Usafiri 40,000
Kuchimba shimo la choo 230,000
Mchanga tipa 4 @55,000 = 220,000
Kokoto tipa 1 @ 150,000
Tofali 1650 @ 1025 = 1,691,250
Grill madirisha 4 @ 150,000= 600,000
Grill mlango 1 @ 200,000
Grill dirisha choo 1 @ 30,000
Mlango wa sebule 150,000
Nyavu za mbu na zile zingne nilisahau kurekodi. Lets say 100,000

Fundi 1,300,000 ( alifanya kila kitu)
Saidia fundi 29 days @10,000 = 290,000
Chakula mchana 29 days @ 3,000= 87,000
Jumla niliyopata kwa gharama zote hizo juu ni
7,200,000

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera SANA

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Hujaweka Gharama za Msingi ili mahesabu yakae vizuri

Safi sana jamaa
 
Wewe ni mwanaume hasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
u

ushakua Baba mwenye nyumba,mengine utamalizia ndugu!hongera
 
Back
Top Bottom