Nimejaa hofu kwa nilichokishuhudia kwa mpenzi wangu

Naomba tafsiri Mkuu kama unaijua,maana sielewi elewi nini hiki????
Choma tu Moto chukua ndimu au limao minyia choma hakuna kitu cha kukudhuru mpaka umeona hyo imechuja mungu yu mwema kwako
Wana jukwaa naomba nisipoteze muda niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimepitia misuko suko mingi sana katika mahusiano,ilifika mahali nikaomba wadau mnishauri kwa baadhi ya mambo yaliyonikumba,nawashukuru wengi mlinishauri na maisha yakaendelea.

Nilipata binti,mpole na mtaratibu sana,nimekuwa naye katika vipindi vigumu na hakuwahi kuonyesha hali yoyote yenye mashaka.

Nimeshitushwa sana leo baada ya kuona vitu vya ajabu kwenye mkoba wake,(ambao sikuwahi kuuona tangu nimefahamiana naye,).

Naviweka hapa,wataalamu wa lugha ya kiarabu naomba mnisaidie kutafsiri maana ya maneno haya,nimekuta karatasi ikiwa na picha yangu,imeandikwa kwa maandishi mekundu kwa lugha ya kiarabu,halafu imefungwa na karatasi nyeusi!!!

View attachment 532069View attachment 532071View attachment 532072
 
Katu haiwezekani,mbona mshahara wangu napata ukiwa kamili,na matumizi yangu yanafanana kabisa na kiasi cha pesa yangu!!!
Alipanga kuanzia kesho mwaka mpua wa fedha......ila ni njia ya kukuweka karibu kimahaba,maana tumekuwa adimu anataka kukutunza kachoka kucheza kwaito send off za watu!
 
Sasa ndiyo nimejua kwann hamkuwahi kungombana na zaidi anakuwa mpole kwako , ww ni msukule wake hataki kukuchosha maana unalima sana usiku.
 
Alipanga kuanzia kesho mwaka mpua wa fedha......ila ni njia ya kukuweka karibu kimahaba,maana tumekuwa adimu anataka kukutunza kachoka kucheza kwaito send off za watu!
Hahahaaa!!!sasa si ni jambo la kuzungumza tu,halihitaji njia nyeusi kama hizi,matokeo yake ndo kila kitu kimeharibika,analazimika kuanza mahusiano upya na mtu mpya,wakati huo huo amenirudiaha nyuma hatua nyingi sana katika swala zima la mahusiano,kwa sababu;
1.Nalazimika kutafuta mwanamke mwingine kwa ajili ya kutengeneza maisha.

2.Hata huyo ntakaye kuwa naye,anaweza kujikuta ktk wakati mgumu kwa sababu imani yangu itakuwa ndogo sana kwake,kutokana na jambo hili,(nilimuamini sana,hivyo moyo wangu utakuwa mzito sana kuamini mwanamke kwa namna yoyote)
 
Hizo ni code za kulipua bomb la Nuclear... Embu mchunguze huyo demu huenda akawa baba yake alisha wahi kufanya kazi kwenye serikali ya N.Korea..

Hayo maneno (code) Unayaingiza kwenye softward inayo milikiwa na microsoft Carnivore ambapo unaingiza hizo code zinazo onekana hapo kama za kiarabu then unaingiza PIN, Itakuletea location where it's can "sniff" trafic on a LAN segment to look for a Email messages in transit.. Kuna PHPMailer ndiyo mtu wa kwanza kugundua hizo code....

NB.. Sijui hata thread inaongelea kuhusu ni so sorry....
 
Naamini humu kuna watu wa imani tofauti tofauti,na wenye kujua lugha mbali mbali,nisaidieni tafsiri kwanza,kabla ya maoni binafsi mengine,nina wakati mgumu kweli,sio kwa sababu naogopa kufa kama baadhi ya watu wanavyonitisha hapa,(kila mmoja atakufa tu,kama sio leo,kesho)isipo kuwa wakati mgumu ni kwanini anifanyie hili,(kama ni kwa ubaya)
umemwahidi ndoa miakani inakatika hakuna kitu kakuendea kwa kalumazira ukome.
 
Wana jukwaa naomba nisipoteze muda niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimepitia misuko suko mingi sana katika mahusiano,ilifika mahali nikaomba wadau mnishauri kwa baadhi ya mambo yaliyonikumba,nawashukuru wengi mlinishauri na maisha yakaendelea.

Nilipata binti,mpole na mtaratibu sana,nimekuwa naye katika vipindi vigumu na hakuwahi kuonyesha hali yoyote yenye mashaka.

Nimeshitushwa sana leo baada ya kuona vitu vya ajabu kwenye mkoba wake,(ambao sikuwahi kuuona tangu nimefahamiana naye,).

Naviweka hapa,wataalamu wa lugha ya kiarabu naomba mnisaidie kutafsiri maana ya maneno haya,nimekuta karatasi ikiwa na picha yangu,imeandikwa kwa maandishi mekundu kwa lugha ya kiarabu,halafu imefungwa na karatasi nyeusi!!!

View attachment 532069View attachment 532071View attachment 532072
Hapo jina lako lipo wapi na umejuaje km hicho ni kiarabu?
 
Sasa ndugu yangu kwenye mkoba ulikua unafata nini? Anyways, hizo mbwembwe tu hakuna kukuloga wala nini, anajaribu kukutingisha tu akuone utaneng'eneka vip. Kama Vip na wewe kamata chura mfunge kwenye kaniki halafu mwache apumue sehemu ambako huyo bebi wako ataona na yeye aje huku kumba ushauri.
 
Soma vizuri Mkuu,utanielewa!!
 
Mkuu wala usiwe hofu ,, mwanamke huyo anakupenda kiasi kwamba mpaka anawivu ulopitiliza ,,yaaan anahisi kwamwonekano wako tu nahali yako nilazima aibiwe ,,kwaiyo ameamua kuitaji kukufunga tuu ,,I mean akufanye uwe wake peke yake,,,,, ,wala hana niambaya ya kuhatarisha maisha yako .

Hapo ndo siku utakayochepuka aki ya nani utaabika mnoo !!. Ur "member" haitokaa isimame nje yake yeye tuu !!.

BTW sio jambo zuri ,,ila mpaka anafikia huko amegundua unamichepuko mingi ndo maana katafuta msada weee kakoswa ,kaamua kwenda kwa prof maji marefu !!.
 
Ushauri kaa naye ,,MPE somo la nguvu sana ,,just make her more happy otherwise utamtesa akili yake tuuu nahuyo ndo mwanamke anayekupenda ,,, maana unaweza ruka mkojo ukakanyaga mavi.
 
Back
Top Bottom